Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,016
- 6,759
Baada ya Fatma kutoka kwenye kikao cha review ya hukumu ya mchezaji Feisal Salum dhidi ya Waajiri wake Klabu ya Yanga, Wakili Fatuma Karume maarufu kama 'Shangazi' aliyekuwa upande wa Fei Toto amesema: "Tumemaliza tulichokuwa tunakifanya, tumewaachia wao watafakri upya, mimi nina mwakilisha tu (Fei Toto), kijana ana haki ya kuamua yeye kama anataka kurudi au vinginevyo, tunasubiri maamuzi. Feisal namjua, kuja kuniomba mimi kumsaidia si kitu kibaya."
Lakini kuna yule wakili wake Bwana Nduruma aliyedai kuwa wataenda kuipeleka hii kesi CAS, yupo wap? maana hata mahojiano na Press amefanya Bi Fatma kama mwakilishi wa Fei kisheria, huku ikionekana kabisa kuwa Nduruma amekuja kukabidhi kazi ilipoishia Swali limekuja JE WAMESHINDWANA KWENYE GHARAMA, WAMEONA ALIMPOTOSHA NA KUTAKA KUPIGA HELA YAKE, AU HAWAMUAMINI NA WAMETAKA MTU WA NYUMBANI AWASAIDIE, AU IMEKUWAJE?
Awali Fei Toto alisimamiwa na mawakili Nduruma Majembe na Makubi Kanju lakini leo Machi 2,2023, ndio siku ya mapitio ‘Review’ ya shauri la mchezaji Feisal Salum ‘Fei Toto’ na klabu ya Yanga juu ya sakata la mkataba baina ya pande hizo mbili huku wakili mzoefu, Fatuma Karume akionekana kukabidhiwa mafaili ya kiungo huyo wa Yanga.
Habari za ndani zinasema Familia imemuomba Bi Fatma awasaidie kumuwakilisha BILA MALIPO ili kuepuka gharama za kuendesha haya mashauri kwani Fei ana muda hajagusa mshahara wake japokuwa Yanga wanamuwekea kwenye akaunti. Mchezaji anahitaji Bajeti ya kutosha kwani inategemewa ataendelea kukaa pembeni kwa mwaka na miezi minne zaidi kama hali itaendelea kuwa kama ilivyo. Je ni sahihi!..
Ugali+Sukari