Kuomba msaada wa bure kwa Fatma Karume. Je, Fei ameshindwana na wakili wake au hamuamini?

Leo ilikuwa kama kutimiza formalities na walijua kitakachotokea, lakini nia yao ni kwenda CAS, hapo ndipo mawakili hao wa awali utawaona tena
Kila la kheri kwao wafanye haraka waende huko wakione Cha moto
 
Kama mikataba yote ingekuwa inaruhusu mchezaji kufanya kama alichokifanya Fei Toto, basi kusingekuwepo na utaratibu wa kununua wachezaji kupitia timu husika.

Maana yake wajanja wangekuwa wanaenda tu kuwaghiribu wachezaji! Wanawajazia hela kwenye akaunti zao, ili kuvunja mikataba; halafu wana wasajili.
Dogo alivo mjinga wanasheria Uchwara wanamlia pesa tu ila ukweli hata yeye anaujua kuwa hakufuata utaratibu, Mwisho mama yake anakuja Public Kutia Tia Huruma
 
Fei toto amefanya utoto kama jina lake 29 yrs unafanya ujinga ujinga ,ulitakiwa ukae chini na yanga myajenge ndio ungefikia uamuzi wa kuhama baada ya makubaliano..

4m ni ndogo?? kweli?? rudi yanga otherwise utakaa benchi mpaka 2024 na ikifika 2024 unafungiwa kucheza soka mpaka ulipe fedha za watu ulizotafuna kwa miaka miwili na fidia juu.
 
Hana akili huyo dogo
 
Hivi mnajua maana ya haki? Kwani Fei anaidai Club yake? Yeye ndo anadaiwa matakwa ya mkataba wake.
Mkataba unamruhusu kufanya vile alivyofanya,ukweli yanga anaogopa na hapo kuangukia pua Kama kwa Morrison.kwahiyo mbinu chafu zote lazima zitumike.then Kuna Mambo yanataka uungwana tu.
 
UGALI+SUKARI🍽️
Yule mama ni muongo! Ugali na sukari, wapi na wapi! Inawezekana kweli mchezaji wa timu kama Yanga akose hela ya kununulia dagaa za 500 ili alie na huo ugali, mpaka akalie na sukari!!

Mama Fei aache kuchezea watu akili. Kwanza timu nyingi za kibongo zina utaratibu wa kulia kambini na wachezaji wao wakati wanajiandaa na mashindano! Sasa huo ugali na sukari aliulia wapi? Kama siyo uongo wa mchana, kutoka kwa mama mtu mzima!!
 
Angemshirikiaha Morrison angeshinda asubuhi na mapema
 
Yule mama ni muongo! Ugali na sukari, wapi na wapi! Inawezekana kweli mchezaji wa timu kama Yanga akose hela ya kununulia dagaa za 500 ili alie na huo ugali, mpaka akalie na sukari!!

Mama Fei aache kuchezea watu akili. Kwanza timu nyingi za kibongo zina utaratibu wa kulia kambini na wachezaji wao wakati wanajiandaa na mashindano! Sasa huo ugali na sukari aliulia wapi? Kama siyo uongo wa mchana, kutoka kwa mama mtu mzima!!
Mwaka mzima wanakula kambini?
 
Back
Top Bottom