Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo alipokuwa nyumbani kwao ndiyo alikuwa anakula ugali na sukari! Kisa anachezea Yanga!! Aisee hii nchi ina maajabu sana.Mwaka mzima wanakula kambini?
Huo naamini ni msemo tu wa kizanzibari, si unajua watu wa pwani na misemo. Watu wa pande zote mbili kwa mihemko wametembea nao hivyo hivyo.Yule mama ni muongo! Ugali na sukari, wapi na wapi! Inawezekana kweli mchezaji wa timu kama Yanga akose hela ya kununulia dagaa za 500 ili alie na huo ugali, mpaka akalie na sukari!!
Mama Fei aache kuchezea watu akili. Kwanza timu nyingi za kibongo zina utaratibu wa kulia kambini na wachezaji wao wakati wanajiandaa na mashindano! Sasa huo ugali na sukari aliulia wapi? Kama siyo uongo wa mchana, kutoka kwa mama mtu mzima!!
Tambua yanga nao wanalilia haki Yako,ohooo!Haki ya mtu huwa aipotei naamini ipo siku
Kama ni haki wataipata tu.Tambua yanga nao wanalilia haki Yako,ohooo!