Alistalikopaul
JF-Expert Member
- Feb 2, 2019
- 720
- 1,995
Kila la kheri kwao wafanye haraka waende huko wakione Cha motoLeo ilikuwa kama kutimiza formalities na walijua kitakachotokea, lakini nia yao ni kwenda CAS, hapo ndipo mawakili hao wa awali utawaona tena
Bila kusahau roho mbaya.Wana njaa, dhiki na madeni
Dogo alivo mjinga wanasheria Uchwara wanamlia pesa tu ila ukweli hata yeye anaujua kuwa hakufuata utaratibu, Mwisho mama yake anakuja Public Kutia Tia HurumaKama mikataba yote ingekuwa inaruhusu mchezaji kufanya kama alichokifanya Fei Toto, basi kusingekuwepo na utaratibu wa kununua wachezaji kupitia timu husika.
Maana yake wajanja wangekuwa wanaenda tu kuwaghiribu wachezaji! Wanawajazia hela kwenye akaunti zao, ili kuvunja mikataba; halafu wana wasajili.
Mna ela za huko CAS nyie wala ugali na sukariLeo ilikuwa kama kutimiza formalities na walijua kitakachotokea, lakini nia yao ni kwenda CAS, hapo ndipo mawakili hao wa awali utawaona tena
Hana akili huyo dogoFei toto amefanya utoto kama jina lake 29 yrs unafanya ujinga ujinga ,ulitakiwa ukae chini na yanga myajenge ndio ungefikia uamuzi wa kuhama baada ya makubaliano..
4m ni ndogo?? kweli?? rudi yanga otherwise utakaa benchi mpaka 2024 na ikifika 2024 unafungiwa kucheza soka mpaka ulipe fedha za watu ulizotafuna kwa miaka miwili na fidia juu.
Haipotei piaHaki ya klabu inapotea?
Sijawahi,but huwa naamua kuachana na Mambo ykukumbushiana madeni.kikubwa mabosi zangu wote wananikubali.Hata ww ushazulumiwa sana na Boss wako
Yanga mna roho mbaya.Haki gani iyo unayotaka fei apewe? Uwezi kuonekana mjinga ukikaa kimya kwenye mambo usiyoyaelewa!
Mkataba unamruhusu kufanya vile alivyofanya,ukweli yanga anaogopa na hapo kuangukia pua Kama kwa Morrison.kwahiyo mbinu chafu zote lazima zitumike.then Kuna Mambo yanataka uungwana tu.Hivi mnajua maana ya haki? Kwani Fei anaidai Club yake? Yeye ndo anadaiwa matakwa ya mkataba wake.
Huekewi kuwa mlezi wa Yanga ni Fatma Karume orijino?TFF wasimamie hilohilo hata bi mkubwa akiingilia Kati kuleta uzanbari nae vile vile aripotiwe FIFA ya kwamba anaingilia mambo ya mpira
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Ni Kweli naelewa na inawezekana kbsa ushawishi wake ukatumika kumaliza mjadala kumpa ushindi kijana wao wa kipemba akishirikiana na namba mojaHuekewi kuwa mlezi wa Yanga ni Fatma Karume orijino?
Una fikra za kijinga, hazina tofauti na za mama'ke Feisal Salum.Ni Kweli naelewa na inawezekana kbsa ushawishi wake ukatumika kumaliza mjadala kumpa ushindi kijana wao wa kipemba akishirikiana na namba moja
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Alijizima dataSuala la kitoto hivi yeye hakuliona au Kwa vile mnamuita Feitoto basi anaona Sawa kufanya Utoto?
Yule mama ni muongo! Ugali na sukari, wapi na wapi! Inawezekana kweli mchezaji wa timu kama Yanga akose hela ya kununulia dagaa za 500 ili alie na huo ugali, mpaka akalie na sukari!!UGALI+SUKARI🍽️
Mbona anatumia mawakili walewale wa MorrisonAngemshirikiaha Morrison angeshinda asubuhi na mapema
Mwaka mzima wanakula kambini?Yule mama ni muongo! Ugali na sukari, wapi na wapi! Inawezekana kweli mchezaji wa timu kama Yanga akose hela ya kununulia dagaa za 500 ili alie na huo ugali, mpaka akalie na sukari!!
Mama Fei aache kuchezea watu akili. Kwanza timu nyingi za kibongo zina utaratibu wa kulia kambini na wachezaji wao wakati wanajiandaa na mashindano! Sasa huo ugali na sukari aliulia wapi? Kama siyo uongo wa mchana, kutoka kwa mama mtu mzima!!