Yule mama ni muongo! Ugali na sukari, wapi na wapi! Inawezekana kweli mchezaji wa timu kama Yanga akose hela ya kununulia dagaa za 500 ili alie na huo ugali, mpaka akalie na sukari!!
Mama Fei aache kuchezea watu akili. Kwanza timu nyingi za kibongo zina utaratibu wa kulia kambini na wachezaji wao wakati wanajiandaa na mashindano! Sasa huo ugali na sukari aliulia wapi? Kama siyo uongo wa mchana, kutoka kwa mama mtu mzima!!