Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Hukumu ya uhaini ni kunyongwa hadi kufa; wapo watu Tanzania wanakaa ofisini wanapanga wenzao wanyongwe hadi kufa.
Watanzania tunakwenda kwenye nyumba za ibada kufanya nini? Kumuita mwenzako muhaini hata kama atashinda kesi maanaye uliapa na kudhamiria anyongwe ndipo upate amani. Huu siyo ubinadamu kabisa na hata viongozi wa CCM na viongozi wa dini ukiawaangalia siku siyo nyingi watatoka adharani kujivua dhambi hizi ambayo wanalazimishwa kuzibeba kifuani.
Let us be serious and focused; tumepotea wapi? Tumetoka kwenye Ugaidi tukaelekea kwenye mazungumzo na tuliowaita magaidi watu wakaona sawa.
Do we need to do same to Dr. Slaa na wenzake? Kwamba tuwatakie kifo then tuje tuseme ilikuwa kutuliza upepo wa kisiasa? Tuweke itikadi pembeni; tusirahisishe sana mambo;
Haya mambo hata madikteta wakubwa Duniani awajawahi kuyaabudu; sisi kupingwa kwa mkataba ilipaswa kuwa chachu yakurekebisha pale tulipokosea siyo kuzidi kumfedhehesha hata huyo mwekezaji.
DP world awezi kuwa mjinga aje kuwekeza eneo ambalo Amnesty International na vyombo vingine Duniani wameanza kuandika kwamba wananchi wanakamatwa na kupewa kesi za uhaini kwa sababu yakupinga uwekezaji wake.
Tuchange karata kwa kuiangalia dunia siyo kuwaangalia wananchi wa kijijini; hizi ni vita dhidi ya wageni siyo vita dhidi ya wananchi.
Hapa tumekosea hizi hazitutiki miyoyoni mwa watu