Kuombea binadamu mwenzako ahukumiwe kunyongwa inahitaji ujasiri mkubwa sana; tunaamini bado upo upendo kati yetu watu weusi?

Resilience

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2023
Posts
1,096
Reaction score
4,948
Hukumu ya uhaini ni kunyongwa hadi kufa; wapo watu Tanzania wanakaa ofisini wanapanga wenzao wanyongwe hadi kufa.

Watanzania tunakwenda kwenye nyumba za ibada kufanya nini? Kumuita mwenzako muhaini hata kama atashinda kesi maanaye uliapa na kudhamiria anyongwe ndipo upate amani. Huu siyo ubinadamu kabisa na hata viongozi wa CCM na viongozi wa dini ukiawaangalia siku siyo nyingi watatoka adharani kujivua dhambi hizi ambayo wanalazimishwa kuzibeba kifuani.

Let us be serious and focused; tumepotea wapi? Tumetoka kwenye Ugaidi tukaelekea kwenye mazungumzo na tuliowaita magaidi watu wakaona sawa.

Do we need to do same to Dr. Slaa na wenzake? Kwamba tuwatakie kifo then tuje tuseme ilikuwa kutuliza upepo wa kisiasa? Tuweke itikadi pembeni; tusirahisishe sana mambo;

Haya mambo hata madikteta wakubwa Duniani awajawahi kuyaabudu; sisi kupingwa kwa mkataba ilipaswa kuwa chachu yakurekebisha pale tulipokosea siyo kuzidi kumfedhehesha hata huyo mwekezaji.

DP world awezi kuwa mjinga aje kuwekeza eneo ambalo Amnesty International na vyombo vingine Duniani wameanza kuandika kwamba wananchi wanakamatwa na kupewa kesi za uhaini kwa sababu yakupinga uwekezaji wake.

Tuchange karata kwa kuiangalia dunia siyo kuwaangalia wananchi wa kijijini; hizi ni vita dhidi ya wageni siyo vita dhidi ya wananchi.

Hapa tumekosea hizi hazitutiki miyoyoni mwa watu
 
Kuua ni utamaduni wa Waarabu toka enzi na enzi.

Waarabu wanawahukumu Watanganyika kwa mara nyingine tena
 
Wanaoua vikongwe kwa tuhuma za ushirikina ni kabila la nchi gani? wanaowakata viungo albino wakiwa hai ni kina nani? wanaowachoma moto vibaka wakiwa hai ni kina nani?

Pastor mckenzie ni mwarabu? Kibwetere aliyeua mamia ya waumini wake ni mwarabu? unawajua madikteta wa Dunia walioua watu wengi zaidi Duniani? au umecomment kwa kuendeshwa na chuki zako binafsi tu?
 
Back
Top Bottom