Sheria pia iseme hakuna mtu atakae kuwa yeye tamko lake mi sheria na kuwa sheria hazijali kwakuwa zinamchelewesha kufikia malengo yake na sii ya taifa,kiasi cha kuzibadili ili ziendane na mahitaki yake,zaidi hata kujiwekea kinga ya kuwajibika kwa makosa ya kiuongozi na maamuzi ya kiuongozi.Natoa rai kwa serikali ilifanyie kazi hili suala, sheria ya vyama siasa ibadilishwe. Kila kiongozi wa ngazi ya unyekiti na ukatibu mkuu asiongoze zaidi ya miaka kumi. Hii ni kuondoa ukiritimba wa kufanya vyama ni mali binafsi ya watu.
Pia kusiwe na dalili ya wanafamilia kurithishana madaraka kwenye vyama kama ilivyo kwa Chadema.
Vyama vya siasa ni mali ya uma.
We umeandika nini?Sheria pia iseme hakuna mtu atakae kuwa yeye tamko lake mi sheria na kuwa sheria hazijali kwakuwa zinamchelewesha kufikia malengo yake na sii ya taifa,kiasi cha kuzibadili ili ziendane na mahitaki yake,zaidi hata kujiwekea kinga ya kuwajibika kwa makosa ya kiuongozi na maamuzi ya kiuongozi.
Na sheria itakayofanya vyama mgombea wake wa uenyekiti asipite bila kupingwa na muda wa uenyekiti uwe miaka mitano tuNatoa rai kwa serikali ilifanyie kazi hili suala, sheria ya vyama siasa ibadilishwe. Kila kiongozi wa ngazi ya unyekiti na ukatibu mkuu asiongoze zaidi ya miaka kumi. Hii ni kuondoa ukiritimba wa kufanya vyama ni mali binafsi ya watu.
Pia kusiwe na dalili ya wanafamilia kurithishana madaraka kwenye vyama kama ilivyo kwa Chadema.
Vyama vya siasa ni mali ya uma.
Kwa akili yako vyama ni mali ya serikali ambayo inaweza kuagiza nini kifanyike kwenye vyama. Hovyo kabisa wewe.Natoa rai kwa serikali ilifanyie kazi hili suala, sheria ya vyama siasa ibadilishwe. Kila kiongozi wa ngazi ya unyekiti na ukatibu mkuu asiongoze zaidi ya miaka kumi. Hii ni kuondoa ukiritimba wa kufanya vyama ni mali binafsi ya watu.
Pia kusiwe na dalili ya wanafamilia kurithishana madaraka kwenye vyama kama ilivyo kwa Chadema.
Vyama vya siasa ni mali ya uma.
Nazani tungeanza na Ndugai kabla ya hao wengine ingekuwa poa sana.Na sheria itakayofanya vyama mgombea wake wa uenyekiti asipite bila kupingwa na muda wa uenyekiti uwe miaka mitano tu
Mbna znz uraisi wanapeana wenyewe kwa wenyewe au wewe suala la baba na mtoto kuwa raisi waliona la kawaida..Natoa rai kwa serikali ilifanyie kazi hili suala, sheria ya vyama siasa ibadilishwe. Kila kiongozi wa ngazi ya unyekiti na ukatibu mkuu asiongoze zaidi ya miaka kumi. Hii ni kuondoa ukiritimba wa kufanya vyama ni mali binafsi ya watu.
Pia kusiwe na dalili ya wanafamilia kurithishana madaraka kwenye vyama kama ilivyo kwa Chadema.
Vyama vya siasa ni mali ya uma.
Wewe baba yako bora angefanya masturbation au mama yako bora angefanya abortionNatoa rai kwa serikali ilifanyie kazi hili suala, sheria ya vyama siasa ibadilishwe. Kila kiongozi wa ngazi ya unyekiti na ukatibu mkuu asiongoze zaidi ya miaka kumi. Hii ni kuondoa ukiritimba wa kufanya vyama ni mali binafsi ya watu.
Pia kusiwe na dalili ya wanafamilia kurithishana madaraka kwenye vyama kama ilivyo kwa Chadema.
Vyama vya siasa ni mali ya uma.
Tulia wewe mataga pori tumalize hili la wabunge wa gereji tunahitaji concentration.Alafu we mburula kuwa na heshima. Hao wabunge wanatuhusu nini?
How old are you?We mburula unatumia nini kufikiri? Mbowe amekufanya nini mpaka unakuwa duwanzi?
wewe mavi kweli, si ulikuwa una shadidia katiba ivunjwe mtu aongoze nchi bila kikomo.Natoa rai kwa serikali ilifanyie kazi hili suala, sheria ya vyama siasa ibadilishwe. Kila kiongozi wa ngazi ya unyekiti na ukatibu mkuu asiongoze zaidi ya miaka kumi. Hii ni kuondoa ukiritimba wa kufanya vyama ni mali binafsi ya watu.
Pia kusiwe na dalili ya wanafamilia kurithishana madaraka kwenye vyama kama ilivyo kwa Chadema.
Vyama vya siasa ni mali ya uma.