Kuondoa ukiritimba kama uliopo Chadema sheria ya vyama vya siasa ibadilishwe hakuna kiongozi wa chama kuongoza zaidi ya miaka kumi

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
Natoa rai kwa serikali ilifanyie kazi hili suala, sheria ya vyama siasa ibadilishwe. Kila kiongozi wa ngazi ya unyekiti na ukatibu mkuu asiongoze zaidi ya miaka kumi. Hii ni kuondoa ukiritimba wa kufanya vyama ni mali binafsi ya watu.

Pia kusiwe na dalili ya wanafamilia kurithishana madaraka kwenye vyama kama ilivyo kwa Chadema.

Vyama vya siasa ni mali ya uma.
 
Sheria pia iseme hakuna mtu atakae kuwa yeye tamko lake mi sheria na kuwa sheria hazijali kwakuwa zinamchelewesha kufikia malengo yake na sii ya taifa,kiasi cha kuzibadili ili ziendane na mahitaki yake,zaidi hata kujiwekea kinga ya kuwajibika kwa makosa ya kiuongozi na maamuzi ya kiuongozi.
 
We umeandika nini?
 
Natoa rai kwa serikali ilifanyie kazi hili suala, sheria ya vyama siasa ibadilishwe. Kila kiongozi wa ngazi ya unyekiti na ukatibu mkuu asiongoze zaidi ya miaka kumi. Hii ni kuondoa ukiritimba wa kufanya vyama ni mali binafsi ya watu.

Pia kusiwe na dalili ya wanafamilia kurithishana madaraka kwenye vyama kama ilivyo kwa Chadema.

Vyama vya siasa ni mali ya uma.
Na sheria itakayofanya vyama mgombea wake wa uenyekiti asipite bila kupingwa na muda wa uenyekiti uwe miaka mitano tu
 
Natoa rai kwa serikali ilifanyie kazi hili suala, sheria ya vyama siasa ibadilishwe. Kila kiongozi wa ngazi ya unyekiti na ukatibu mkuu asiongoze zaidi ya miaka kumi. Hii ni kuondoa ukiritimba wa kufanya vyama ni mali binafsi ya watu.

Pia kusiwe na dalili ya wanafamilia kurithishana madaraka kwenye vyama kama ilivyo kwa Chadema.

Vyama vya siasa ni mali ya uma.
Kwa akili yako vyama ni mali ya serikali ambayo inaweza kuagiza nini kifanyike kwenye vyama. Hovyo kabisa wewe.
 
Waliowahi kuwa wenyeviti wa Chadema unawajua we mbuzi?

Bob Makani umewahi kulisikia hilo jina?
 
Natoa rai kwa serikali ilifanyie kazi hili suala, sheria ya vyama siasa ibadilishwe. Kila kiongozi wa ngazi ya unyekiti na ukatibu mkuu asiongoze zaidi ya miaka kumi. Hii ni kuondoa ukiritimba wa kufanya vyama ni mali binafsi ya watu.

Pia kusiwe na dalili ya wanafamilia kurithishana madaraka kwenye vyama kama ilivyo kwa Chadema.

Vyama vya siasa ni mali ya uma.
Mbna znz uraisi wanapeana wenyewe kwa wenyewe au wewe suala la baba na mtoto kuwa raisi waliona la kawaida..

Suala la mwenyekiti wa chama kuwa raisi wa nchi hili kwako limekaaje ki demokrasia unayoisena

Ngefurahi kama majibu yako ungeyaweka wakati uliopita wa hayati, mtukufu, mpendwa, raisi wa wanyonge, yesu wa duniani J. P. M
 
Natoa rai kwa serikali ilifanyie kazi hili suala, sheria ya vyama siasa ibadilishwe. Kila kiongozi wa ngazi ya unyekiti na ukatibu mkuu asiongoze zaidi ya miaka kumi. Hii ni kuondoa ukiritimba wa kufanya vyama ni mali binafsi ya watu.

Pia kusiwe na dalili ya wanafamilia kurithishana madaraka kwenye vyama kama ilivyo kwa Chadema.

Vyama vya siasa ni mali ya uma.
Wewe baba yako bora angefanya masturbation au mama yako bora angefanya abortion
 
Natoa rai kwa serikali ilifanyie kazi hili suala, sheria ya vyama siasa ibadilishwe. Kila kiongozi wa ngazi ya unyekiti na ukatibu mkuu asiongoze zaidi ya miaka kumi. Hii ni kuondoa ukiritimba wa kufanya vyama ni mali binafsi ya watu.

Pia kusiwe na dalili ya wanafamilia kurithishana madaraka kwenye vyama kama ilivyo kwa Chadema.

Vyama vya siasa ni mali ya uma.
wewe mavi kweli, si ulikuwa una shadidia katiba ivunjwe mtu aongoze nchi bila kikomo.

unamwona mbowe hanunuliki, ili awe mpinzani bandia wa kuwahadaa wananchi na wahisani kama ilivyo akina zito, lipumba, mrema, mbatia nk..

hilo desk hapo tisi ni la kuvunja ili mwelewe kuwa upinzani imara ndio ccm imara na hence, maendeleo ya nchi kwa ujumla wake. nyie ndio mnao mtisha mama kwa kusema mna tetea legacy ya maufuli, lakn hamna lolote ziaidi ni kuwa lengo lenu, ni kutaka mama asiwapige chini genge lililo wekwa na magu. Yaani kwa maneno mengine genge la magu ndio mnajiita legacy ya magu ili msipigwe chini kwa maovu yenu

ccm siyo mbaya ila kuna kundi la maharamia ndani ya ccm, linalo iichafua chama na nchi kwa ujumla wake, hivyo linatumia propagandist kama nyie muwafunge midomo wapinzani wa kweli wanao paza kelele wizi, dhuluma nk dhidi yenu mchwa.

Mbowe ni mpizni mwache, ya chadema wachie wenyewe
 
Back
Top Bottom