Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,404
- 6,969
Natoa rai kwa serikali ilifanyie kazi hili suala, sheria ya vyama siasa ibadilishwe. Kila kiongozi wa ngazi ya unyekiti na ukatibu mkuu asiongoze zaidi ya miaka kumi. Hii ni kuondoa ukiritimba wa kufanya vyama ni mali binafsi ya watu.
Pia kusiwe na dalili ya wanafamilia kurithishana madaraka kwenye vyama kama ilivyo kwa Chadema.
Vyama vya siasa ni mali ya uma.
Pia kusiwe na dalili ya wanafamilia kurithishana madaraka kwenye vyama kama ilivyo kwa Chadema.
Vyama vya siasa ni mali ya uma.