Oohh, sawa, una hakika ilikuwa namba yako ya mtahiniwa au uliandika namba za magari ya polisi yaliyokuja kufanya ulinzi!?Nakumbuka zilikuwa F saba.Ni Feee Feee Feee hadi mwisho.Nilichofaulu ni kuandika namba yangu ya mtahiniwa bila kukosea.
Uhakika ninao.Maana baada ya miezi minne nilipatiwa taarifa nikajiunge Milembe na nilikaa bweni miaka saba.Tulipomaliza,mimi na jamaa zangu wawili,tulitunukiwa zawadi za mashuka yameandikwa AFYA.Siku hizi nimelitandika kama zulia sebuleni.Oohh, sawa, una hakika ilikuwa namba yako ya mtahiniwa au uliandika namba za magari ya polisi yaliyokuja kufanya ulinzi!?
Inasemwa hivi,kama jambo hujakusudiwa huwa halikudhuruWenzake sisi tunakula hizo, na nazi za njia panda ndio tunatumia kama viungo
Una uhakika uko sebuleni!? Usijechanganya wodi za milembe zinavyotandikwa shuka, ukahisi uko sebuleniUhakika ninao.Maana baada ya miezi minne nilipatiwa taarifa nikajiunge Milembe na nilikaa bweni miaka saba.Tulipomaliza,mimi na jamaa zangu wawili,tulitunukiwa zawadi za mashuka yameandikwa AFYA.Siku hizi nimelitandika kama zulia sebuleni.
Uhakika upo kwa sababu watu wote wamependeza sana.Wamevaa nguo za orange,nyeupe na nyaya shingoni.Pia wameandika USIPIGE KELELE.Una uhakika uko sebuleni!? Usijechanganya wodi za milembe zinavyotandikwa shuka, ukahisi uko sebuleni
β¦.. Nasikia mji wa ni watamu sanaSasa si awachinje awale.. Wakati mwingine unawakusanya wa wiki nzima unaenda kutoa msaada kwa watoto yatima.
Hahahahaha, sina jibu la moja kwa mojaMbona wengi wa wandishi wa habari wa tz weupe sana kichwani? Tatizo ni vyuo au?
Manala=Manara.Ali -Kamwe yupo vizuri na Manala Yupo vizuri Sana .
Kielimu
Kiimani
Michezo ya kiswahili
So Manala na kamwe watafanya kazi vizuri tu.
Kuna aliyeamini anaondoka ?mbona bado yupo sana jangwani
tupo mkuu π π π π πKuna aliyeamini anaondoka ?
Alisomea lini na level gani?Alisomea south africa
Mtanzania hata akiwa profesa ujue ana kaumbumbu fulani hiviHizi tetesi tu, inasemekana mauza uza yamekuwa mengi ndani ya club siku chache zilizopita. Njiwa wamekuwa wakionekana ndani ya ofisi ya idara japo madirisha na milango imefungwa. Bundi, na wakati mwingine kuku imechinjwa halafu inakutwa ndani ya meza ya Ally pamoja na madawa ya kishirikina
Hahahahahatupo mkuu π π π π π