Kuondoka kwa Ally Kamwe kwahusishwa na mambo ya ushirikina mkubwa sana ulioanza kutokea ndani ya idara hivi karibuni

Nakumbuka zilikuwa F saba.Ni Feee Feee Feee hadi mwisho.Nilichofaulu ni kuandika namba yangu ya mtahiniwa bila kukosea.
Oohh, sawa, una hakika ilikuwa namba yako ya mtahiniwa au uliandika namba za magari ya polisi yaliyokuja kufanya ulinzi!?
 
Uhakika ninao.Maana baada ya miezi minne nilipatiwa taarifa nikajiunge Milembe na nilikaa bweni miaka saba.Tulipomaliza,mimi na jamaa zangu wawili,tulitunukiwa zawadi za mashuka yameandikwa AFYA.Siku hizi nimelitandika kama zulia sebuleni.
 
Una uhakika uko sebuleni!? Usijechanganya wodi za milembe zinavyotandikwa shuka, ukahisi uko sebuleni
 
Uhakika upo kwa sababu watu wote wamependeza sana.Wamevaa nguo za orange,nyeupe na nyaya shingoni.Pia wameandika USIPIGE KELELE.
 
Ali -Kamwe yupo vizuri na Manala Yupo vizuri Sana .

Kielimu
Kiimani
Michezo ya kiswahili

So Manala na kamwe watafanya kazi vizuri tu.
 
Hizi tetesi tu, inasemekana mauza uza yamekuwa mengi ndani ya club siku chache zilizopita. Njiwa wamekuwa wakionekana ndani ya ofisi ya idara japo madirisha na milango imefungwa. Bundi, na wakati mwingine kuku imechinjwa halafu inakutwa ndani ya meza ya Ally pamoja na madawa ya kishirikina
Mtanzania hata akiwa profesa ujue ana kaumbumbu fulani hivi
 
Ali -Kamwe yupo vizuri na Manala Yupo vizuri Sana .

Kielimu
Kiimani
Michezo ya kiswahili

So Manala na kamwe watafanya kazi vizuri tu.
Kamwe na yeye anapiga mavata na mavumba ? Sasa na ule mwili anavua nguo aoge njia panda?
 
Back
Top Bottom