[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]poleee sana mvumilie tuDah ningepata demu kavu hivi ingependeza, mie mpenzi wangu mpaka sometym nakataga makofi yani. Ana ukarimu wa kijinga sana huwa hawezi jibu shit wala kumkatia mtu simu mbaya zaidi akiombwa namba anatoaga tu sijui kalogwa.
Na mimi kuanzia leo nakuwa mpinzani Mange Kimambi!![emoji119][emoji119][emoji119][emoji3][emoji3][emoji3]mti wenye matunda lazima upigwe maweee
Kiukweli huwa napata shida sana maana sipendagi mpenzi awe hotspot wifi. Ila kama ndio tabia yake siwezi badili wacha abakie hivyo tu.Nimejikuta namuonea huruma
Ukiwa unaenda uniiteAsanteeee
ha!haa!haaaaaa!!!....umeniweza!![emoji125][emoji125][emoji125]Sina churaaa so wewe kaaa mbali tu.
Duh wanaume rekebisheni wapenzi wenu,ujue hakuna aliekamilika eti,sasa ukimuacha huyo kwa hilo ukaenda kukutana na bomu la nyuklia utaacha wangapiKiukweli huwa napata shida sana maana sipendagi mpenzi awe hotspot wifi. Ila kama ndio tabia yake siwezi badili wacha abakie hivyo tu.
Mwendo wa kula kona tu! Big boys dont cry