Kuongea na simu na mtu usiyempenda yataka moyo!

Kuongea na simu na mtu usiyempenda yataka moyo!

Dah ningepata demu kavu hivi ingependeza, mie mpenzi wangu mpaka sometym nakataga makofi yani. Ana ukarimu wa kijinga sana huwa hawezi jibu shit wala kumkatia mtu simu mbaya zaidi akiombwa namba anatoaga tu sijui kalogwa.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]poleee sana mvumilie tu
 
Kiukweli huwa napata shida sana maana sipendagi mpenzi awe hotspot wifi. Ila kama ndio tabia yake siwezi badili wacha abakie hivyo tu.
Mwendo wa kula kona tu! Big boys dont cry
[emoji26][emoji26][emoji26]kazi ipoooo
 
Kiukweli huwa napata shida sana maana sipendagi mpenzi awe hotspot wifi. Ila kama ndio tabia yake siwezi badili wacha abakie hivyo tu.
Mwendo wa kula kona tu! Big boys dont cry
Duh wanaume rekebisheni wapenzi wenu,ujue hakuna aliekamilika eti,sasa ukimuacha huyo kwa hilo ukaenda kukutana na bomu la nyuklia utaacha wangapi
 
Hya bana,ila huyo unayejifanya ndo mnapendana nayeye anafikra kama yako,usikute anakula mzigo tu anayehuko ambaye ndo chaguo lake....so jua malipo ni hapahapa duniani
 
Back
Top Bottom