Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,366
- 60,453
- Thread starter
- #701
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]poleee sana mvumilie tuDah ningepata demu kavu hivi ingependeza, mie mpenzi wangu mpaka sometym nakataga makofi yani. Ana ukarimu wa kijinga sana huwa hawezi jibu shit wala kumkatia mtu simu mbaya zaidi akiombwa namba anatoaga tu sijui kalogwa.