Kuongea na simu na mtu usiyempenda yataka moyo!

Kuongea na simu na mtu usiyempenda yataka moyo!

[emoji23] [emoji23] umewahi kupokea simu ukaifunikizia kwenye masweta mawili afu ukawa unaongea kwa sauti kwamba "sikusiiiiiikiiiiiiiiiii" unakata afu unatuma msg,"simu mbovu haisikiki"
Unasema spika mbovu mm huwa naweka mpaka kwenye bumundaaaa simu nasema nusaaaa nusaaaaa hukooo alafu naitika kwa sautii eeeeeeeh sikusikiiii huku kimoyo moyo nasema nusaaa huko
 
Back
Top Bottom