Kuongea na simu na mtu usiyempenda yataka moyo!

Kuongea na simu na mtu usiyempenda yataka moyo!

Usiombe kupigiwa simu na muha pure from kigoma,akupende umkatae hehehee!!
Kila siku atajiunga cheka zogo ya 5000 kwa ajili ya kukupigisha story ya ziwa Tanganyika na jinsi hali ya hewa ilivyo kasulu
Tutake radhi Bana
Yaani nimepaliwa na maji niliposoma Hii Post yako
 
Kuna watu wanakera sana umelala anapiga simu saa 8 usiku hapo ukute hujaweka vibration utakomaaa ndugu yangu usingizi wote unakata wanatia hasiraaa sana
 
Back
Top Bottom