Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Hazard
Si inaisha leoHazard bhn kwan kafunguliwaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hazard
Si inaisha leoHazard bhn kwan kafunguliwaaa
Tutake radhi BanaUsiombe kupigiwa simu na muha pure from kigoma,akupende umkatae hehehee!!
Kila siku atajiunga cheka zogo ya 5000 kwa ajili ya kukupigisha story ya ziwa Tanganyika na jinsi hali ya hewa ilivyo kasulu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nyie waha mna mambo sanaTutake radhi Bana
Yaani nimepaliwa na maji niliposoma Hii Post yako
[emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] nyie waha mna mambo sana
Usinifanye niukumbuke ugali wa loya[emoji23] [emoji23]
Msitunyanyase Maana....
am baaackHazard nn kimemsibu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Shemeji kala ban Jolie Jolie
Nipoo mamiii...mambooNini kimemsibu jamani
[emoji23] [emoji23]Labda imekosewa mana hata kosa halijulikani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] lakini dawa ya deni si nikulipa jamniHahaha hapana...watu wanaonidai ndio huwa simu zao zinakera mnoo
deni kulikimbia tu,[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] lakini dawa ya deni si nikulipa jamni
sasa shida hapo ni nn shem...mwambie tu kaka yetu mkubwa Mshana Jr amgeuze nyuma mbele,mbele nyuma....MBONA ISHU NDOGO TU!!!!Ukiwa nao wa5 wanaweza kukuharibia mood ya siku