Mookiesbad98
JF-Expert Member
- Feb 1, 2015
- 3,574
- 4,856
hee, nlionaga wawili mbezi beach pembeni ya barabara kwenye miti nikajua maybe wamepotea, kumbe wapo wengi? wamiliki wawe makini na mifugo yaoMamlaka zinazohusika hasa Maliasili. AFYA . Kuna ongezeko kubwa la tumbili na ngedere maeneo ya Mbezibeach Nssf flats kwenye bonde la mto ndumbwi.
Maeneo ya Bahari beach Kondo mpaka Tegeta masaiti. Boko mpaka mbweni ngedere na tumbili wamezaliana sana na kuleta tishio la magonjwa na usalama wa binadamu hasa wanawake.
Wahusika wachukue hatua za haraka
Mama anaupiga mwingi sana.Wamechoka kuishi porini
Waacheni .....kwanza hayo ndiyo yalikuwa makazi yaoMamlaka zinazohusika hasa Maliasili. AFYA . Kuna ongezeko kubwa la tumbili na ngedere maeneo ya Mbezibeach Nssf flats kwenye bonde la mto ndumbwi.
Maeneo ya Bahari beach Kondo mpaka Tegeta masaiti. Boko mpaka mbweni ngedere na tumbili wamezaliana sana na kuleta tishio la magonjwa na usalama wa binadamu hasa wanawake.
Wahusika wachukue hatua za haraka
Australia wanajua sana kuishi na wanyamaHayo ni mapori yao mmewavamia tu.
Pale Tangi Bovu miaka ya 1980s kati ya 1983 mpaka 1986 palikuwa mashamba na mapori tu.
Bibi yangu alikuwa na shamba pale kwenye Tangi Bovu barabarani, kulikuwa na Tangi limeharibika lina kutu, siku hizi watu wanapaita Tangi Bovu hata hilo Tangi Bovu hawajaliona.
Mbezi beach Hayo ni maeneo ya kuishi ngedere na tumbili binadamu mumefuata nini? Kwani nyie ngedere na tumbili?Mamlaka zinazohusika hasa Maliasili. AFYA . Kuna ongezeko kubwa la tumbili na ngedere maeneo ya Mbezibeach Nssf flats kwenye bonde la mto ndumbwi.
Maeneo ya Bahari beach Kondo mpaka Tegeta masaiti. Boko mpaka mbweni ngedere na tumbili wamezaliana sana na kuleta tishio la magonjwa na usalama wa binadamu hasa wanawake.
Wahusika wachukue hatua za haraka
Hawa ngedere wangeonekana Mbagala, ingekuwa stori nyingine..!!!Mamlaka zinazohusika hasa Maliasili. AFYA . Kuna ongezeko kubwa la tumbili na ngedere maeneo ya Mbezibeach Nssf flats kwenye bonde la mto ndumbwi.
Maeneo ya Bahari beach Kondo mpaka Tegeta masaiti. Boko mpaka mbweni ngedere na tumbili wamezaliana sana na kuleta tishio la magonjwa na usalama wa binadamu hasa wanawake.
Wahusika wachukue hatua za haraka
Mpk mwaka 1998 lilikuwepoHayo ni mapori yao mmewavamia tu.