Yo majesty
JF-Expert Member
- Sep 13, 2023
- 703
- 1,222
Pia masaki wapo na kawe mzimuni wapo.hao tumbili ni ndugu zetu na ni wapiga kura halali wa mama mashungi.waachwe wazaliane maana nguvu za kiume wanazo
Mbona hawana shida hao tumbili, mimi waliwahi kuingia hadi sitting room bila shida.Mamlaka zinazohusika hasa Maliasili. AFYA . Kuna ongezeko kubwa la tumbili na ngedere maeneo ya Mbezibeach Nssf flats kwenye bonde la mto ndumbwi.
Maeneo ya Bahari beach Kondo mpaka Tegeta masaiti. Boko mpaka mbweni ngedere na tumbili wamezaliana sana na kuleta tishio la magonjwa na usalama wa binadamu hasa wanawake.
Wahusika wachukue hatua za haraka
Hawajaongezeka ila wamerudi katika makazi Yao mliyowaporaMamlaka zinazohusika hasa Maliasili. AFYA . Kuna ongezeko kubwa la tumbili na ngedere maeneo ya Mbezibeach Nssf flats kwenye bonde la mto ndumbwi.