Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 89,019
- 156,726
Hapana sijatoka nje ya uzi.Mbona kama unatoka nje ya uzi mambo ya bibi yako kuwa na shamba na tank bovu lenye kutu yanaingiaje hapa
Wewe tu una changamoto ya kuunganisha poibts.
Nakueleza kuwa hizo sehemu zilikuwa mapori miaka si mingi sana, katuka uhai wangu. Nakupa mfano hai kutoka maisha yangu kuwa hapo Mbezi Tangi Bovu, ambayo ni sehemu ya Mbezi Beach, kulikuwa na shamba la bibi yangi miaka ya 1980s. Nakuonesha mji ulivyopanuka leo hakuna shamba wala hilo Tangi Bovu pamejengeka sana.
Hivyo hao ngedere wao ndio wamevamiwa kwenye mapori yao na watu, sasa wanarudi yu.
Umeelewa au unahitaji kufafanuliwa zaidi?
Au una tabia za kichawi ukisikia watu wanakuja na personal stories tu kuelezea jambo unakasirika hupendi watu wajieleze katika ukumbi wa kujieleza kwa uhuru?
Kama ni hivyo acha tabia za kichawi, kuna watu wamefurahia sana nimewakumbusha mbali.