Ngedere na tumbili sehemu yao wanapenda kuishi Mbezi Beach sio MbagalaHawa ngedere wangeonekana Mbagala, ingekuwa stori nyingine..!!!
Wamekuja kutafuta life 😭😂😂😂Wamechoka kuishi porini
Du, asante sana kwa kipande hiki cha historia. Kumbe ni kwa sababu kulikuwa na tangi bovu!Hayo ni mapori yao mmewavamia tu.
Pale Tangi Bovu miaka ya 1980s kati ya 1983 mpaka 1986 palikuwa mashamba na mapori tu.
Bibi yangu alikuwa na shamba pale kwenye Tangi Bovu barabarani, kulikuwa na Tangi limeharibika lina kutu, siku hizi watu wanapaita Tangi Bovu hata hilo Tangi Bovu hawajaliona.
Wakiwa wengi sana ni kero kubwa. Huko India, jiji la Delhi wako wengi kweli na wahindi sijui wanawaabudu! Ni kero na kuna wakati wanakodisha jamaa mwenye aina ya ngedere mkubwa kuja kuwafukuza hao wadogo wasilete uharibifu.Waachieni na wao wa enjoy life
Ova
Mbezi beach binadamu hawana uzazi wanazaa kama kanga yai moja tofauti na maeneo kama MbagalaNi kwamba tumbili na ngedere ndio wameongezeka au watu ndio wameongezeka hivyo kumaliza sehemu zao waliokuwa wanajipatia basic needs hivyo wanavinjari kutafuta wao mkate wa kila siku...
Watani zangu wamakonde wangefanya yaoHawa ngedere wangeonekana Mbagala, ingekuwa stori nyingine..!!!
Mbezi beach ni eneo la ufugaji? Aisee mumetishaWanaingia kwenye banda la kuku na kula mayai. Ni waharibifu sana.
Waache tu, kama 'chawa wa mama' wameongezeka, iweje wao wasiongezeke?Mamlaka zinazohusika hasa Maliasili. AFYA . Kuna ongezeko kubwa la tumbili na ngedere maeneo ya Mbezibeach Nssf flats kwenye bonde la mto ndumbwi.
Maeneo ya Bahari beach Kondo mpaka Tegeta masaiti. Boko mpaka mbweni ngedere na tumbili wamezaliana sana na kuleta tishio la magonjwa na usalama wa binadamu hasa wanawake.
Wahusika wachukue hatua za haraka
Hao ngedere na nyani ni raia huru.Mamlaka zinazohusika hasa Maliasili. AFYA . Kuna ongezeko kubwa la tumbili na ngedere maeneo ya Mbezibeach Nssf flats kwenye bonde la mto ndumbwi.
Maeneo ya Bahari beach Kondo mpaka Tegeta masaiti. Boko mpaka mbweni ngedere na tumbili wamezaliana sana na kuleta tishio la magonjwa na usalama wa binadamu hasa wanawake.
Wahusika wachukue hatua za haraka
Maeneo yao hayo,nyi mmetoka kwenu kilimanjaro,mbeya mmewafuata, wapo kimara pori la jeshi mpaka mitaa ya UDMamlaka zinazohusika hasa Maliasili. AFYA . Kuna ongezeko kubwa la tumbili na ngedere maeneo ya Mbezibeach Nssf flats kwenye bonde la mto ndumbwi.
Maeneo ya Bahari beach Kondo mpaka Tegeta masaiti. Boko mpaka mbweni ngedere na tumbili wamezaliana sana na kuleta tishio la magonjwa na usalama wa binadamu hasa wanawake.
Wahusika wachukue hatua za haraka
Kabla kote huko yalikuwa ni makazi yao sasa unavyowafukuza kwa kujenga huko na kule wanatafuta sehemu ambayo angalau ni kimya...Mbezi beach binadamu hawana uzazi wanazaa kama kanga yai moja tofauti na maeneo kama Mbagala
Waweza zurura Mbezi beach yote ukakutana na watoto wawili.
Ngedere na tumbili wamewazidi uzazi wakazi wa Mbezi beach
🤣🤣Mh sekunde tu anauwawa Kam mwiziHawa ngedere wangeonekana Mbagala, ingekuwa stori nyingine..!!!