Kuongezeka kwa Tumbili na Ngedere hapa Dar hasa Mbezi beach mpaka Ununio

Mbona kama unatoka nje ya uzi mambo ya bibi yako kuwa na shamba na tank bovu lenye kutu yanaingiaje hapa
Hapana sijatoka nje ya uzi.

Wewe tu una changamoto ya kuunganisha poibts.

Nakueleza kuwa hizo sehemu zilikuwa mapori miaka si mingi sana, katuka uhai wangu. Nakupa mfano hai kutoka maisha yangu kuwa hapo Mbezi Tangi Bovu, ambayo ni sehemu ya Mbezi Beach, kulikuwa na shamba la bibi yangi miaka ya 1980s. Nakuonesha mji ulivyopanuka leo hakuna shamba wala hilo Tangi Bovu pamejengeka sana.

Hivyo hao ngedere wao ndio wamevamiwa kwenye mapori yao na watu, sasa wanarudi yu.

Umeelewa au unahitaji kufafanuliwa zaidi?

Au una tabia za kichawi ukisikia watu wanakuja na personal stories tu kuelezea jambo unakasirika hupendi watu wajieleze katika ukumbi wa kujieleza kwa uhuru?

Kama ni hivyo acha tabia za kichawi, kuna watu wamefurahia sana nimewakumbusha mbali.
 
Hii hata mwanza maeneo ya nyegezi na kiseke kuna ngedere wengi sana na wanaletabusumbufu na uharibifu mkubwa
 
Dawa ni ndogo ,kuna ndugu zetu wahadzabe waletwe kama familia 20 wapewe eneo hilo kwa miaka miwili, hao jamaa wataomba po ,watatafunwa mpaka wakome
 
Una utani na mwanasiasa fulani?
 
Ngoja waelelewe life muanze kuonyeshwa Middle finger na tumbili
 
Hongereni watu wa maeneo hayo kwa kuhakikisha hao wanyama wanapata chakula chao vizuri. Hao wanyama hawakai sehemu ya njaa. Endeleeni kuwatunza
 
Zqmani ukienda goba nk walijaaa kibaooo
Pale msitu wa mlalakuwa tu walikuwa wamejaa nyani na makenge .... nature ndiyo ilivyo

Mimi kuna mahali nikiendaga huwa nawapel3kea ndizi na nyanya za kutosha na wakiniona wananigombaniaaaa huwa nafarijika sana

Ova
 

Attachments

  • Screenshot_20250507_091716_Gallery.jpg
    572.8 KB · Views: 18
Jamaa ana stress sio bure.
Ulichokielezea awali wala hakina shida, sijui yeye kakereka wapi.
 
Aliye vamia hayo maeneo ni nani kati ya tumbili nabinadamu
Nakusanya jopo la mawakili wa haki za wanyama kuwaburuza mahakamani wakazi wa Mbezi Beach kwa niaba ya ngedere na tumbili kuwafungulia kesi wakazi wa Mbezi beach ya trespass ya kuvamia maeneo ya ngedere na tumbili na kuiomba mahakama itoe court order ya wakazi wote wa Mbezi beach wahame warudi walikotoka wawaachie ngedere na tumbili hilo eneo lao
 
Kikikiki
 
Hilo suala la watu kuvamia eneo tumbili na ngedere usilichukulie kisiasa ni la kisheria hilo lihusulo haki za wanyama

Jopo la mawakili wa haki za wanyama linapangwa.Wakazi wa Beach jiandaeni kwa kesi
Good thinking
 
Tofauti ya Tumbili, Nyani na ngedere ni ipi?
 
Jamaa ana stress sio bure.
Ulichokielezea awali wala hakina shida, sijui yeye kakereka wapi.
Kuna watu wanataka wao tu ndio waseme stories zao, wakiona mtu mwingine anatoa story yake wanaona wivu, choyo, hasira.

Yani mtu anakuwa na roho mbaya mpaka kwenye kuachia wengine kuandika kwa uhuru JF.
 
Wanyama wanatoka waishipo wanavamia makazi ya watu,,,, ujue kuna dalili ya njaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…