Kuongezeka kwa Tumbili na Ngedere hapa Dar hasa Mbezi beach mpaka Ununio

Pia masaki wapo na kawe mzimuni wapo.hao tumbili ni ndugu zetu na ni wapiga kura halali wa mama mashungi.waachwe wazaliane maana nguvu za kiume wanazo
 
Kuna watu wanahisi ni binadamu tu ndiyo wanatakiwa kuishi! Ufilisti tu. Kule Mwanza walikuwa wanaishi milimani kwenye mawe watu wakavamia maeneo yao na kuwatokomeza.
 
Mbona hawana shida hao tumbili, mimi waliwahi kuingia hadi sitting room bila shida.
 
Hawajaongezeka ila wamerudi katika makazi Yao mliyowapora

Kama fisi , Simba , Nyati na Ngiri na wao wangerudi pia ingekuwa vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…