Kuongezeka kwa ubaguzi wa kiuchumi, kieneo na ukabila nchini Tanzania

Hivi kaskazini kuna shida gani nyie kila kitu mmefanya wenyewe sio serikali wakati mlikuwa mmejazana serikalini mkiwatumia baadhi ya watu kujimegea pakubwa.Mnafikiri sisi hatunazo???!!!
 
Hivi kaskazini kuna shida gani nyie kila kitu mmefanya wenyewe sio serikali wakati mlikuwa mmejazana serikalini mkiwatumia baadhi ya watu kujimegea pakubwa.Mnafikiri sisi hatunazo???!!!
kaskazini ni msamiati mpana sana. mimi nazungumzia wilaya za mwanga na same. kwa uelewa wangu wilaya hizo hazijapendelewa hata kidogo. usiishie kusema kwamba kaskazini wamejimegea bakubwa, eleza walijimegea kitu gani na wakati gani. kuna mchangiaji alisema kuna hospitali ya wilaya ilijengwa kwa upendeleo, wakati ukweli ni kwamba kituo cha afya kilipandishwa ngazi kuwa hospitali ya wilaya. madai mengi yanayotolewa dhidi ya wenyeji wa kaskazini ni ya UONGO na yanaletwa na watu wenye CHUKI.
 
Nakuunga mkono, Bukoba vijijini pako poa kuliko Kilimanjaro.

sasa kwanini mnashambulia kilimanjaro wakati mnaeleza kwamba ni mahali pa hovyo, watu wake wana mila chafu za kizamani, hawana ardhi, na wana maisha ya kimasikini? kwanini mnawaandama kwa CHUKI watu wenye matatizo kiasi hicho?
 
Nakuunga mkono, Bukoba vijijini pako poa kuliko Kilimanjaro.
Umeoma usukumani kwenu nyumba za tembe nyingi sasa unajikomba komba kwa bwana instanbul kutafuta huruma? Hahaha kwann unaweka mpira kwapani ewe mpanda punda?
Na wewe post vijumba vyenu vya nyasi vya kule nyan'gwale
 
Walikuwa wamesoma kuliko wengine maana hata kwa takwimu ya idadi ya shule KILIMANJARO tangu Uhuru ndio inaongoza kwa shule nyingi
 
WAKATI KANDA YA KASKAZINI IKIIMARISHWA KWA SHULE NA MIUNDO MBINU MLIKAA KIMYA SASA HIVI TUNATAKA KUBALANCE MIDOMO JUU SEMENI MPAKA MCHOKE
Uzuri ni kwamba maendeleo ni perception na hauwezi kuyalazimisha. Mtu akiwa mshenzi hata apewe nn hawawezi kubadilika. Na hata uwajengee lami hawataweza kutunza. RSA kaburu aliacha kila kitu sawa na Western Europe ila wanachofanya waafrica walioachiwa ni kuharibu ili wawe sawa na ndugu zao wa north
 
Haya Saud Arabia ni matajiri kuliko China sasa niambie nani super power kati ya mataifa hayo mawili ?
Saudia wao Ni matajiri individually kwa maana wananchi wa kule kiwango chá umaskini ni kidogo mno,ila China wao ni matajiri nationally yaan nchi Ni tajiri lkn wananchi Ni maskini (refer Ethiopia)
 
Nani analala kwenye tembe ? Hao wenye matembe yao DOM/SINGIDA wameanza kuyaacha. Ndio maana nimekuambia mara nyingi usikariri dunia inakwenda kasi now.
Weweeee mm nimetoka huko kwenu lake zone juz tu hapa mwez novembre,Hakuna jipya watu wanatumia punda kama usafir hata bodaboda hamna
 
Wewe hujui kitu. Ninajadiliana na mbumbu mzungu wa reli
Wewe ndio mbumbumbu daraja la Kwanza maana unadai ardhi Ni utajiri,sasa nimekwambia mbona Tanzania isiwe tajiri kuzidi Sweden au Finland ambayo Ni vimchi vidogo lkn vinaipa msaada?
Utajiri au umaskini Ni akili ya mtu,wewe unategemea akili yako iwaze kuzaa watoto wengi ili uwaozeshe alafu uwe tajiri? Sahau sahau sahau(in mwanri's voice)
Good lucky I have visited those countries
 
Hahahaha umemjibu kisomi Sana,naamini PhD yako umeitendea haki[emoji1][emoji1]
 
Kwa hiyo mmejiaminisha kabisa jamii zingine hazijui kutumia maji, barabara, umeme, shule, hospitali, nyumba? Enzi yenu imepita. End of era has come.
Unabweka bweka tu
Enzi yetu ipi? Kuna kipi kipya mnachopewa ambacho kwetu hakipo? Ni umeme,maji,mbuga za wanyama,lami au shule? Kiufupi Hakuna kipya
 
Hivi kaskazini kuna shida gani nyie kila kitu mmefanya wenyewe sio serikali wakati mlikuwa mmejazana serikalini mkiwatumia baadhi ya watu kujimegea pakubwa.Mnafikiri sisi hatunazo???!!!
Wakati wenzenu kaskaz wakijichanga kujenga shule ,huduma za jamii nyie si mlikuwa busy kufuga majoka ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…