Kuongezeka kwa ubaguzi wa kiuchumi, kieneo na ukabila nchini Tanzania

Kaskazini haijazidi kanda ya ziwa chochote. Kama ni watu wenye pesa wapo kibao kanda ya ziwa kuanzia Kagera hadi Musoma. Usilinganishe Kilimanjaro na mkoa wa juzi kati wa Simiyu. Linganisha na Kagera, Mwanza na labda Mara.
 
Kaskaz imeizd lake vingi tu kama shule,huduma za jamii kama umeme, barabara,makaz etc
Sijakataa kuwa lake zone hawana hΓ©la,ila hawawez fikia kaskaz
Mfano ile list ya mabilionea wazawa ilikuwa Ni kina marehemu mengi nk sikuona lacal bilionea wenu
Hata sasa hv hapo lake zone Hakuna mtu wa kumfikia bilionea shirima wa Precision air hapo sijakutajia kina panone,mosha n.k Kinyungu hebu njoo
 
Kaskazini haijazidi kanda ya ziwa chochote. Kama ni watu wenye pesa wapo kibao kanda ya ziwa kuanzia Kagera hadi Musoma. Usilinganishe Kilimanjaro na mkoa wa juzi kati wa Simiyu. Linganisha na Kagera, Mwanza na labda Mara.
Sijakataa kuwa lake zone wana hΓ©la,ila hawawez fikia kaskaz

Ila jamani[emoji23][emoji23][emoji23] nikiangaliaga nyumba zinazoongelewa za bk nachekaga sana... ila hamna nomaa...
 
Kuna Don mmoja wa Kilimanjaro anaitwa Hans Aingaya Macha . Huyu ndiye ndiye Mtanzania pekee as individual anayeimiliki bank ya crdb kwa zaidi ya 1% . Ukiondoa wale Wahindi wawili wenye hisa nyingi kwa pamoja huyu jamaa ni shidaaa. Halafu wala hapigi kelele katulia kama hayupo. Hawa washamba wakiona crdb imejaa wachagga watulie itakuwa Macha anawajaza huko πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Nasubiri mapovuu

Naona Midimay kakimbia alipoiona hii comment
 
Kuhusu yeye kuwa na hisa nyingi, basi uwekezaji tu alioamua kuchagua. Kuna makabila mengine pia wana pesa lkn hawajanunua hisa za CRDB.
 
Kuhusu majumba, siku hizi yanajengwa kote nchini. Mikoa kama Kagera, Mbeya, Songwe, Manyara, Arusha, Morogoro, Shinyanga, Geita, Mwanza, majumba yanajengwa kote, mijini na kijijini. Swala la kijisifia nyumba bora ingekuwa miaka ya 90.
 
Nadeclare kwamba mimi sio msukuma, mimi ni mixer, muiraq na mmeru. Majirani zenu. Lakini nimeamua tu kuwatoa jasho kwa sababu siku hizo mnapenda sifa sana.
 
Kwa miaka hii utajiri wa nchi/ eneo hautegemei sana kilichopo ardhini ila technolojia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…