luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,602
- 8,798
Nakubaliana na wewe lakini majority walikuwa wachaga sababu hata kwa shule za msingi ilikuwa nazo nyingi kwahyo advantage ya watoto kusoma secondary huko huko ilikuwa kubwa-Unachotakiwa kuelewa ni kuwa hizo shule unazosemea ni za kitaifa/zinachukua watu kutoka mikoa mbalimbali hivyo makabila mbalimbali yalisoma hapo siyo nyie tu wapo wasukuma, waha, wamatumbi, wazaramo, nyakyusa nk
-shule hizo ni kama MoshiTechnical, Oldmoshi, weruweru, Same secondary, ashira nk hizo shule zinamchangamano wa makabila sio wa Kilimanjaro tu
-