luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,602
- 8,798
Nakubaliana na wewe lakini majority walikuwa wachaga sababu hata kwa shule za msingi ilikuwa nazo nyingi kwahyo advantage ya watoto kusoma secondary huko huko ilikuwa kubwa-Unachotakiwa kuelewa ni kuwa hizo shule unazosemea ni za kitaifa/zinachukua watu kutoka mikoa mbalimbali hivyo makabila mbalimbali yalisoma hapo siyo nyie tu wapo wasukuma, waha, wamatumbi, wazaramo, nyakyusa nk
-shule hizo ni kama MoshiTechnical, Oldmoshi, weruweru, Same secondary, ashira nk hizo shule zinamchangamano wa makabila sio wa Kilimanjaro tu
-
Kunywa kikombe kimoja Cha kahawa kwa bili yanguMkubwa usiwe mbishi wa takwimu. Kufuatana na takwimu kutoka Bureau of Statistics, mikoa inayoongoza kwa utajiri:
1) Dar
2) Kikimanjaro
3) Njombe
4) Mbeya
Kama kumbukumbu zangu zipo sawa, Mwanza ni ya 4 toka mwishoni. Hizi ni takwimu za mkoa mzima siyo makao makuu ya mkoa.
Na ukienda kwenye mikoa hii (ukiondoa Dar), ukaangalia maisha ya vijijini, takwimu zinaakisi uhalisia.
Bila CCM imara taifa litayumba - JK NyerereTusiposema sasa mawe yatasema.
Sasa hivi nchi inapitia ubaguzi wa wazi kieneo, ukabila na upendeleo wa wazi kwa sehemu fulani fulani nchini Tanzania.
Haya ni mambo ambayo Tanzania hatukuyazoea wala kushuhudia toka enzi za kupata uhuru.
Mwalimu alijishusha mno na hata hakupendelea kwao kwa jinsi tunavyoshuhudia sasa, mimi Butiama nimefika.
Ubaguzi wa aina yoyote una mwisho si mzuri kwa mustakabali wa Taifa.
Chama kimelala.
Bunge ndio kabisa.
Lakini wahenga wanasema tutavuna tunachopanda.
Mbona unatukana ngosha? Umepanic au?Nikukimbue kwa lipi mbwa wewe
Nyie huko kwenu yamewasaidia? Huko usukumani kwenu kwenye NDAGU ndio yamesaidia? Au kuua vikongwe wenye macho mekundu ? Rubbish kabisaMakanisa hayajawasaidia maana bado mnatambika na kulala na wakamwana zenu. Kwa hiyo ni kujilisha upepo tu.
Mna uwezo gani? Kuzaa vitoto dazani huku ukiwa huna uwezo wa kuwahudumia. ? Ndio maana umaskini huko kwenu hautakaa uishe hadi Masiha kurudiKuzaa ni lazima tuzae sana tu. Kwani si tunauwezo huo sasa wewe mnywa mbege mpaka mkeo akatafute msaada kwa wanaume wa Kenya maana huna uwezo wa kuzaa.
Nyie huko kwenu yamewasaidia? Huko usukumani kwenu kwenye NDAGU ndio yamesaidia? Au kuua vikongwe wenye macho mekundu ? Rubbish kabisa
Ulitakiwa kusema pale uliopoanza na wala sio wakati huu uikiwa umeota mizizi.Tusiposema sasa mawe yatasema.
Sasa hivi nchi inapitia ubaguzi wa wazi kieneo, ukabila na upendeleo wa wazi kwa sehemu fulani fulani nchini Tanzania.
Haya ni mambo ambayo Tanzania hatukuyazoea wala kushuhudia toka enzi za kupata uhuru.
Mwalimu alijishusha mno na hata hakupendelea kwao kwa jinsi tunavyoshuhudia sasa, mimi Butiama nimefika.
Ubaguzi wa aina yoyote una mwisho si mzuri kwa mustakabali wa Taifa.
Chama kimelala.
Bunge ndio kabisa.
Lakini wahenga wanasema tutavuna tunachopanda.
Haya mambo ya imani yanahusiana nini sasa. Kajengeni kwenuMsukuma akiwa mpagani anakuwa mpagani hasa kwa 100% na akiamua kuokoka anaokoka kwa 100℅ hakuna uvuguvugu kama wachagga.
Kama sijakunyonga na mto usiku ulasimulie vzr tunauaga wanaumePole mke wangu huwa nakupendaga lakini
Hoja dhaifu hiyoMsukuma akiwa mpagani anakuwa mpagani hasa kwa 100% na akiamua kuokoka anaokoka kwa 100℅ hakuna uvuguvugu kama wachagga.
Sasa kuna maana gan ya kuwa tajiri alafu maisha ya watu yapo duni kiasi Cha kulala nyumba za tembe?Na ndivyo ilivyo Mwanza na sukumaland yote
Kumbe hujui lolote kuhusu história ya Uhuru pole sana hujui hata nyerere nauli za kwenda un alifadhiliwa na boss aikael mbowe enz hizo?Hakuna cha kusoma zaidi ya wengine, ni ukabila tu unawasumbua, ndio maana Mangi Marealle badala ya kutafuta uhuru wa Tanganyika eti likaenda kuomba uhuru wa wanywa mbege na meno kama kashata ! Lilikuwa jinga kweli hilo. Unaweza ukawa umesoma lakini ukawa hujaelimika.
Bangi na mbege ni shida
Vipi kuhusu ile IMITUNGA yenu ya kulimia mpunga?Wewe shoe shine wa kwa Sadala acha kuropoka au na wewe ni mmojawapo wa wale mazezeta ya kishimundu
Wewe kumbe una reasoning ndogo mno,majumba yaliyo vijijin Kilimanjaro huez fananisha n'a popote Kijiji tz ,ni Sawa na kuifananisha dar na New-York kwa kigezo kuwa dar pia kuna ghorofa nadhani umeelewaKuhusu majumba, siku hizi yanajengwa kote nchini. Mikoa kama Kagera, Mbeya, Songwe, Manyara, Arusha, Morogoro, Shinyanga, Geita, Mwanza, majumba yanajengwa kote, mijini na kijijini. Swala la kijisifia nyumba bora ingekuwa miaka ya 90.
Tutajuaje sasa Hakuna kitu kama hichoKuhusu yeye kuwa na hisa nyingi, basi uwekezaji tu alioamua kuchagua. Kuna makabila mengine pia wana pesa lkn hawajanunua hisa za CRDB.
Ulitaka tuweke kwenye madiaba kama kakobe?Nikimbie nini? Kama mliwekaga CRDB kwa sababu Macha ana hisa nyingi na Kimei ndio CEO basi ndio ubaguzi wenyewe.
Hahaha usirudie Siku nyingine hutatoboa ulishawah ona Israël imeshindwa?Nadeclare kwamba mimi sio msukuma, mimi ni mixer, muiraq na mmeru. Majirani zenu. Lakini nimeamua tu kuwatoa jasho kwa sababu siku hizo mnapenda sifa sana.
Nadeclare kwamba mimi sio msukuma, mimi ni mixer, muiraq na mmeru. Majirani zenu. Lakini nimeamua tu kuwatoa jasho kwa sababu siku hizo mnapenda sifa sana.
Kuna mchagga ametajirika tukamfahamu kwa sababu ya kahawa? Kahawa ilikuwepo na bado ipo Kagera, Mbeya, Songwe(Mbozi) na Arusha. Utasema Arusha Wamasai na Waarusha hawakuwa na elimu ya kutumia kahawa kutajirika na pengine Wanyiha. Hiw about Wanyakyusa wa Mbeya, Wahaya wa Bukoba? Mengi amepata utajiri kwenye kahawa na kufanya biashara Kenya? Shirima wa precision ametajirikia Kahawa?wachaga wana bahati mbili. bahati ya kwanza ni kahawa. bahati ya pili ni mpaka wa tanzania na kenya. kahawa ni zao ambalo limekuwa na bei nzuri kwa muda mrefu na linastawi zaidi ktk ardhi ya wachaga. kenya ndio jirani wa tanzania mwenye hali nzuri ya kiuchumi kuliko majirani zetu wote. siri ya " mafanikio " ya wachaga ni hiyo nimewapa. sasa mwenye CHUKI zake aendelee tu lakini ukweli ndio huo.
eneo lolote lile lisipokuwa na zao la biashara lenye bei nzuri hata serikali ikiwekeza haliwezi kuinuka. mfano mzuri ni mkoa wa dodoma ambao siku zote una changamoto pamoja na serikali kuwekeza. mikoa ya mbeya na iringa ni mifano ya mikoa ambayo ina mazao ya mpunga na mbao ambayo yana bei nzuri. na ndio maana tumeshuhudia jamii ya wakinga wakiibuka kama wafanyabiashara wakubwa.
wapemba pia wameibuka kutokana na zao la karafuu kustawi ktk ardhi yao. biashara ya karafuu imewawezesha wapemba kuja mjini wakiwa tayari na mtaji wa kuanzisha biashara, tofauti na jamii nyingine ambazo huhamia mjini bila mtaji wa biashara au elimu na maarifa ya kupata ajira nzuri.