Capt Tamar
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 12,340
- 16,383
Wachagga wanajivunia bidii ya mikono yao zaidi ya kazi za serikali,ndiyo maana wanajivunia nyumba bora,elimu bora,uchumi wa mtu mmoja mmoja na biashara zao zaidi ya viwanja vya ndege na makusanyo ya tra,hawajivunii ukoloni japo ukoloni ndiyo uliowawezesha kielimu kuliko hata serikali ya nchi yao,hivyo tuHivi humu si ndio kuna mada lukuki za watu kujidai eti mkoa wetu wa KILIMANJARO unaongoza kwa lami nyingi mpaka vijijini, umeme mpaka kwenye migombani. Na mikoa mingine ikidhihakiwa kwamba ni hohehae...
Mkuu pamoja na kutofautiana kimawazo, sithubutu kumwita Rais Magufuli Jiwe.Jiwe.
Hayo uliyoandika hapo juu tulishayajadili vya kutosha na kueleweka. Hakuna sababu tena ya kuyarudia rudia.
Sema ''halafu anataka kujiongezea muda''. Hao watu ni mdomo wake. Wametumwa ''kulianzisha''.Alafu kuna watu wanataka kumuongezea muda 😬😬😬 Anyway kila mtu apambane na hali yake
Wewe sio mgeni ndani ya jukwaa hili.Mkuu pamoja na kutofautiana kimawazo, sithubutu kumwita Rais Magufuli Jiwe.
Its disrespectful.
Na ndio maana naweza criticise ideas ambazo naona si sawa.
Nyundo juu ya msumari.
Kwa maana hiyo unakiri kuwepo kwa unaguzi huo kama njia ya kulipiza kisasi?Una umri gani wewe? Upendeleo ulikuwepo miaka yote. Nahisi kuna watu upendeleo umewatega mgongo ndo maana wanalia lia! Walipopendelewa wakasema ni haki yao. tulieni nchi inyooke.
Juzi niliangalia Jimbo Fulani Lina mgodi wa aina yake wananchi wake wanabebwa Kwa Nagari kwenda kishuhudia utiaji sahihi .Jimbo halina mradi WA maana hata mmoja na hata campaign Mzee hakuona maana ya kwenda huko Bali kiwabeba kama wenyewe Hawana kwaoTunakoelekea bora tugawane majimbo kila jimbo lijiendeshe lenyewe maana kwa mfumo huu tulonao ni kama unyonyaji kwa baadhi ya mikoa.
Kwa miaka mingi CHADEMA na watu wenye akili na kusisitizwa na Lissu, walijaribu kupendekeza mfumo wa Majimbo lakini wajinga wa CCM wamekuwa wakipinga na kukejeli kwa nguvu ya wingi wao lakini ukweli wa nchi kubwa kama Tanzania Utawala wa Majimbo ndo unafaa kuliko uongozi wa mtu mmoja kutoka Chato peke yake.Tunakoelekea bora tugawane majimbo kila jimbo lijiendeshe lenyewe maana kwa mfumo huu tulonao ni kama unyonyaji kwa baadhi ya mikoa.
Ni kweli, waziri wa fedha wakati ule hakupendelea miradi ya maendeleo kama barabara , shule, umeme, na viwanda kwao, na kwa mashirika yalio chini ya fedha au viwanda hakupendelea wa kwaoTusiposema sasa mawe yatasema.
Sasa hivi nchi inapitia ubaguzi wa wazi kieneo , ukabila na upendeleo wa wazi kwa sehemu fulani fulani nchini Tanzania...
KabisaTunakoelekea bora tugawane majimbo kila jimbo lijiendeshe lenyewe maana kwa mfumo huu tulonao ni kama unyonyaji kwa baadhi ya mikoa.
Nyie watoto wa juzi hamjui kuwa ile main road toka Moshi hadi zkorogwe ilianza kuwa diverted ili ipite katikati ya mji wa Mwanga.
Kazi ilianza na ilistopishwa na Serikali ya Mwalimu.
Wakati jimbo jipya la Mwanga ( likitengwatoka Same) linaanzishwa mambo mengi sana yalipangwa na CD lakini yalikataliwa.
Source: mimi mweyewe
huyu jamaa ni mtu wa hovyo kabisa. anataka kutuletea chuki tusiyoistahili. utakuta ndio wale wanaoamini kwamba chediel mgonja ndiye aliyepeleka elimu upareni. wangefanya uchunguzi wangegundua kwamba kisomo cha watu wazima kilianza upareni mwaka 1949 kwa mpango wa majaribio wa serikali ya muingereza. wapare walishafikia malengo ya mpango wa upe miongo kadhaa kabla ya tanzania kuamua kutekeleza mpango wa upe mwaka 1977. mwingine kule jukwaa la historia alidai wapare walifundishwa dini ya Kiislamu mwaka 1945 na jamaa mmoja toka Uchagani. Mimi nikamuuliza mbona kabla ya hapo tayari kulikuwa na Wafumwa ambao ni Waislamu?Nyundo juu ya msumari.
Wengine wanadandia tuu, stories za mitaani wanataka kuzilazimisha ziwe kweli.huyu jamaa ni mtu wa hovyo kabisa. anataka kutuletea chuki tusiyoistahili. utakuta ndio wale wanaoamini kwamba chediel mgonja ndiye aliyepeleka elimu upareni. wangefanya uchunguzi wangegundua kwamba kisomo cha watu wazima kilianza upareni mwaka 1949 kwa mpango wa majaribio wa serikali ya muingereza. wapare walishafikia malengo ya mpango wa upe miongo kadhaa kabla ya tanzania kuamua kutekeleza mpango wa upe mwaka 1977. mwingine kule jukwaa la historia alidai wapare walifundishwa dini ya Kiislamu mwaka 1945 na jamaa mmoja toka Uchagani. Mimi nikamuuliza mbona kabla ya hapo tayari kulikuwa na Wafumwa ambao ni Waislamu?
SEREKALI YA MAGUFULI INAO UBAGUZI WA KISIASA ( UBAGUZI KTK MISINGI YA ITIKADI ZA KISIASA)Wachaga bwana...kwa hiyo wanalalamika wanasemaje mkuu??? Jamani wonders shall never end..wao waliendelea zamani wanalalamika nini Sasa..mpaka huku kwetu buzirayombo wapo..Kama Ni matunda ya kazi nzuri za baba Jesca bado wanafaidi tu..mwanza ndio usiseme ndio wanarun the show...na Kahama...Sasa wanalalamika nini hao akina bwashee... Kikubwa serikali ya baba Jesca Ni serikali ya watu wote..haina ubaguzi wa kikabila,kidini au rangi..haya mengine ni maneno ya mashabiki tu..
Na kikubwa watanzania wenzangu tupendane..na tuvumiliane kwa misingi ya tofauti zetu...nchi hii Ni yetu sote
Kweli, na mimi Butiama nimefika nikitokea Kilimanjaro! Kwa nini sasa hivi maendeleo yanasambazwa Tanzania nzima? Mfano; kwa nini maji yanatolewa ziwa Victoria kwenda Tabora?Tusiposema sasa mawe yatasema.
Sasa hivi nchi inapitia ubaguzi wa wazi kieneo , ukabila na upendeleo wa wazi kwa sehemu fulani fulani nchini Tanzania...
Jiwe hovyooo kabisa. Chato ni ikulu ya 3 baada ya Magogoni na Chamwino.Tusiposema sasa mawe yatasema.
Sasa hivi nchi inapitia ubaguzi wa wazi kieneo , ukabila na upendeleo wa wazi kwa sehemu fulani fulani nchini Tanzania...
Kitendo cha Nyerere kutoendeleza Butiama hakimuonyeshi Mwalimu kuwa ni mzalendo sana! Ni mapungufu yake, kama mapungufu mengine waliyonayo watu wengine.Tunaishi nyakati unazizijua vema.
Na mada umeilewa vema ila una unafiki wa ku act kuwa a wounded guy...
Tulikuwepo wakati wa upendeleo wa wazi wakati CD akipendelea kwao na baadaye kukemewa na Mwalimu.barabara ya korogwe same mwanga moshi inapita ktk jimbo la mwanga ambalo msuya alikuwa mbunge. sasa hebu tueleze huo upendeleo uko wapi wakati tayari barabara inapita jimboni kwake? mimi ninavyoelewa upendeleo ni kiongozi kupeleka huduma fulani eneo lake na kuwanyima wananchi wa maeneo mengine huduma hiyo. kwa mfano kiongozi toka wilaya A alazimishe huduma ipelekwe ktk eneo lake wakati serikali ilikuwa imepanga huduma hiyo iende eneo B...