UMUGHAKA
JF-Expert Member
- Sep 1, 2021
- 2,753
- 12,932
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!.
Ukweli uko hivyo na kama unadhani nakutania wewe zaa na mwanamke/mwanaume mjinga halafu matokeo utakuja kuyaona kwenye kizazi chako.
Nyinyi nyote ni mashaidi,ukiona kuna familia watoto wao wamepiga hatua za kiakili na kimaendeleo basi wachunguze wazazi wao utagundua walikuwa ni wazazi wenye akili,wanaojiheshimu na wanaojitambua.
Tamaa ya kuoa wanawake wenye makalio makubwa imezigharimu familia nyingi sana hasa za kizazi cha leo,kwa bahati mbaya ulikimbilia kuoa matako makubwa bila kuchunguza akili ya mwenzako na baadae ndipo ukagundua ukweli na ukawa umechelewa tayari.
Jidanganye kuolewa na mtu ambaye mmekutana tu huko viwanja vya starehe akakujali kwa muda ukadhani huyo ndiye mume sahihi,ukiingia tu kwenye ndoa au akikupa mimba ndipo utagundua umezaa na tahira,kibaya zaidi utakuwa umechelewa!.
Hakikisheni kabla ya kuoa na kuolewa unamjua kwa undani zaidi huyo unayependana nae ili isije kugharimu kizazi chako na Taifa kwa ujumla.Taifa linapitia mambo ya ovyo kutoka kwa vijana kwasababu ya ujinga,utahira,uzezeta na uzwazwa wa wazazi.
Ni hayo tu.