YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Ukiona mwanaume kama mwanamke hana akili ujue na yeye akili hazimo Kwa hiyo sio kusingizia tu mwanamke na lipari akili kichwani zinakuwa hazimo
Mwanamke mwenye akili nyingi sio rahisi kuolewa na mtu asiye nazo kichwa wanawajua kuwasoma kuliko maelezo
Ndio wale vidume utakuta ohh kisichana chenyewe kipo kipo tu halafu nataka kukioa kinaleta nyodo Anakuwa keshakisoma kidume kuwa kichwani hamna kitu
Kinaogopa kuja zaa na kidume zezeta ambacho kichwani ni nusu kaputi