uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 17,060
- 32,400
Ndio maana mimi sikufanya makosa kwa yule mchumba wangu wa kihindiš¤£
Ujinga VS uchafu, Kaka mkubwa....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana mimi sikufanya makosa kwa yule mchumba wangu wa kihindiš¤£
Tako lilivyo na joto zuri kunako 6Ć6 eti nilikwepe kisa future ya watotoHahahah tutafika tuš¤£
Umesoma mada ukaelewa au umejibu na wewe ukaonekana umejibuWe ndo wale wazazi hawana akili, mtu kua mchungaji au sheikh haina uhusiano na level yake ya intelligence
navosema ya kistaarabu namaanisha iliyokamilika, yaani kuna maadili.Ukimtamani mke wa mtu umeshazini nae ata kama haujashiriki lakini una chembechembe za nia ovu ndani yako ata kama haijajitokeza ,unaweza kusema familia ni ya kistaarabu ila ina kiini cha uovu , sema tu ile tabia itakuja kujimanifest baadae kizazi kingne.
Ata kama atajifunza duniani ila kuna ule utashi wa kuchambua hayo anayojifunza , ule utashi unatoka kwenye vina saba japo kwa uchache mazingira yana adhiri,ila ile essence ya ndani inabaki strong.navosema ya kistaarabu namaanisha iliyokamilika, yaani kuna maadili.
mtoto muda wake mwingi hata hautumii na wazazi, kuna mambo ya shule n.k
wazazi wanafanya tu kutoa maelekezo ya hapa na pale, ila mtoto vitu vingi sana anjifunza duniani.
sawa kuna tabia watoto wanarithi, ila hio haihakikishi mtoto atakua mwema. mambo ni mengi mkuu hakuna mtu ni copy 100% ya mzazi wake.Ata kama atajifunza duniani ila kuna ule utashi wa kuchambua hayo anayojifunza , ule utashi unatoka kwenye vina saba japo kwa uchache mazingira yana adhiri,ila ile essence ya ndani inabaki strong.
Kabsa kwa sababu kuundwa kwa mtoto kunategemea vina saba vya mpka kizazi cha kale zaidi cha pande zote mbili mke na mume.sawa kuna tabia watoto wanarithi, ila hio haihakikishi mtoto atakua mwema. mambo ni mengi mkuu hakuna mtu ni copy 100% ya mzazi wake.
simaanishi hivyoš namaanisha mazingira ndio yana mchango mkubwa.Kabsa kwa sababu kuundwa kwa mtoto kunategemea vina saba vya mpka kizazi cha kale zaidi cha pande zote mbili mke na mume.
Hahahah itatuaffect jamii nzimaš¤£You are absolutely right!!!!!!!
Katika kitu ambacho huwa nawaambia watu wangu wa karibu ni hicho....
Tembea na watu hovyo kadri utakavyo, hata ukitaka kuoa/olewa tu ilimradi utajijua mwenyewe, ila kwa faida ya afya ya akili yako, na kwa faida ya kizazi chako, kua muangalifu sana na mwanamke/mwanaume utakae zaa nae.
Ukizingua kwenye hilo unakua umevuruga maisha ya watu wengi sana maana haitoku-affect wewe ama mwanao tu, bali pia jamii na watu wengine wengi wanaowazunguka.
[emoji23]SIFUNGAMANI NA UPANDE WOWOTE Am too young to make Enemies
Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
Hahahah tako ni ujinga himilivu sio š¤£Tako lilivyo na joto zuri kunako 6Ć6 eti nilikwepe kisa future ya watoto
Mazingira ni sawa mkuu ila ata vina saba ni sawa pia , hii ya mwonekano au sura ni kwel watu wenye mwonekano mzuri zaid na wale wenye mbaya zaidi wanafanikiwa sna japo wale wabaya zaidi wengi hawajatambua nguvu hii.simaanishi hivyo[emoji23] namaanisha mazingira ndio yana mchango mkubwa.
kukua kwa mtoto imekaa isaikolojia sana, kuna vitu vidogo watu wanapuuzia ila vina mchango mkubwa....
mfano; muonekano wa mtoto[emoji23] sura na jinsi alivyo, inachangia jinsi watu watakavokua wanamchukulia, na hii itapelekea yeye kujiamini au kujichukia
hapo sawa mkuu sasa tunaelewanašMazingira ni sawa mkuu ila ata vina saba ni sawa pia , hii ya mwonekano au sura ni kwel watu wenye mwonekano mzuri zaid na wale wenye mbaya zaidi wanafanikiwa sna japo wale wabaya zaidi wengi hawajatambua nguvu hii.
Ni kweli kabsa mazingira yanachangia tabia za maisha ya mtoto ila vina saba vinaunda tabia za kimaumbile mfano baba alikua anatabia ya kung'ata ulimi akikasirika ,kuna watoto watarithi , kukuja miguu akikaa ,kukunja ndita na nk.hapo sawa mkuu sasa tunaelewana[emoji23]
sasa hivo ni vitu vidogošNi kweli kabsa mazingira yanachangia tabia za maisha ya mtoto ila vina saba vinaunda tabia za kimaumbile mfano baba alikua anatabia ya kung'ata ulimi akikasirika ,kuna watoto watarithi , kukuja miguu akikaa ,kukunja ndita na nk.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kunja ndita kwenye biashara yako asubhi hadi jioni uone.sasa hivo ni vitu vidogo[emoji23]
kukunja ndita kunamsaidia mtu kufanikiwa kimaisha??