peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 18,223
- 31,465
Wasomi wengi especially wasichana ambao ni wanavyuo wanalinda bikira zao ili waoleweKwa Sasa imekuwa ni kawaida kusikika matukio ya watu/watoto wadogo kulawitiwa.
Najiuliza kama ni matukio yameongezeka ama utoaji taarifa ndiyo umekuwa mkubwa hivi Sasa!!??
Lakini pia Kuna jambo linaashiriwa Kwa kuongezeka Kwa matukio hayo.
Jee ni malezi mabaya au ni Imani za kishirikina ndizo zinazochangia kukua kwa tatizo Hilo!?
Kuna nini kinaendelea kwenye jamii!?
Ukimya umetawala Sana ila matendo ya ulawiti yanahanikiza kwa sauti kubwa kwamba Kuna tatizo mahali.
Kasema jamii nzima tupo kwenye mkatale (denial). Ni ukweli kuwa Tanzania tunaonesha tunachukia ushoga lakini matendo yetu yanaonesha kuwa kinyume chake.Samahani comrade kwani nani alisema ushoga haupo?
Kuna wanaodai kwamba ushoga ni ‘import’ ya tamaduni za magharibi..Samahani comrade kwani nani alisema ushoga haupo?
Tuache kuwasingizia wazunguKuna wanaodai kwamba ushoga ni ‘import’ ya tamaduni za magharibi..
Mjinga sana yule PhD! Elimu ni pamoja na kuwa mfano bora katika jamii. Mkosa maadili kama yule atajibu nini?Hili swali inabidi aitwe aliyekuwa RC wa Simiyu ndugu Nawanda aje kutujibu.
Imani za kishirikina husishwaje hapa ? Naomba kuelimishwaYote ni majibu mkuu...
Imani za kishirikina, mmonyoko wa maadili zinaharibu jamii Sana.
Fasihi. Umeandika kwa lugha ya fasihi ambayo haiudhi....Msukumo wa wanaume kumulika tochi topeni (kufukua mitaro na kula visavlmvu vya kopo) unatoka wapi? Au ndio passwords za kusukuma ndinga kali tunazo ziona hapa mjini?
Hapa ndipo palipo na utata...Kuna wanaodai kwamba ushoga ni ‘import’ ya tamaduni za magharibi..
Hili swali inabidi aitwe aliyekuwa RC wa Simiyu ndugu Nawanda aje kutujibu.
Kunaashiria kwamba ushoga upo na umeshamiri kwenye jamii hata kama watu wapo kwenye denial.
Ushiriki katika tendo la kulawiti ni ushoga, mwanzo mwisho.
Kamla mwanafunzi wa chuo kwa mpalange kwenye gari kwenye parking ya bar huko Mwanza.amefanyaje huyo jamaa mkuu? naona katrend sana
Kamla mwanafunzi wa chuo kwa mpalange kwenye gari kwenye parking ya bar huko Mwanza.
Mwanafunzi kaenda polisi anadai amebakwa na hospitali wamethibitisha kweli kafumuliwa marinda.Mwanafunzi wa chuo? Sasa shida iko wapi kama walielewana
Mwanafunzi kaenda polisi anadai amebakwa na hospitali wamethibitisha kweli kafumuliwa marinda.
Akikujibu nitag,Kwa ivo Kwa wanawake ndiyo imekuwa rasmi!?
Wanaojaa majukwani kuhubiri Maadili ndio Nambari One kwenye ufirauni.Kwa Sasa imekuwa ni kawaida kusikika matukio ya watu/watoto wadogo kulawitiwa.
Najiuliza kama ni matukio yameongezeka ama utoaji taarifa ndiyo umekuwa mkubwa hivi Sasa!!??
Lakini pia Kuna jambo linaashiriwa Kwa kuongezeka Kwa matukio hayo.
Jee ni malezi mabaya au ni Imani za kishirikina ndizo zinazochangia kukua kwa tatizo Hilo!?
Kuna nini kinaendelea kwenye jamii!?
Ukimya umetawala Sana ila matendo ya ulawiti yanahanikiza kwa sauti kubwa kwamba Kuna tatizo mahali.