Pre GE2025 Kuonyesha kwamba Lissu haungwi mkono na mtu yeyote ndani ya CHADEMA, leo amekwenda akiwa mpweke kuchukua fomu

Pre GE2025 Kuonyesha kwamba Lissu haungwi mkono na mtu yeyote ndani ya CHADEMA, leo amekwenda akiwa mpweke kuchukua fomu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
A lone wolf ambaye amefanya kila kiunga cha Lumumba na White House kuzungumziwa yeye!!!??

A lone wolf ambaye kila chombo cha habari mpaka kipeperushi cha CCM kumzungumziaa!!???

A lone wolf ambaye amefanya machawa kutembea wakiwa wamevaa diapers kwa kuwa wanajiharishia non-stop!!!???
 
Ni kama mwanachama mpya ndani ya chadema, hajasindikizwa hata na kiongozi wa chama kutoka mkoani kwake, au hata wanachama wa kawaida.

A lone wolf. Failure to plan, is planning to fail, plan yake haikuwa uenyekiti, ila umakamu.
MWUAJI UNAHANGAIKA SANA NA HABARI ZA LISSU LAKINI KUMBUKA KUWA KILA NAFSI ITATOA HESABU YAKE SIKU HIYO YA MWISHO WA UHAI.
 
Ni kama mwanachama mpya ndani ya CHADEMA, hajasindikizwa hata na kiongozi wa chama kutoka mkoani kwake, au hata wanachama wa kawaida.

Soma Pia: Tundu Lissu achukua rasmi Fomu ya kugombea Uenyekiti CHADEMA

A lone wolf. Failure to plan, is planning to fail, plan yake haikuwa uenyekiti, ila umakamu.
Ulitaka akualike wewe?Hajataka kwani chawa licha ya kunyonya damu kiwizi wanaweza kukupa maradhi au kukukausha damu kabisa.
 
Hata Magufuli wakati anaenda kuchukua fomu alikuwa mpweke na aliambatana na watu walio mpenda na waliomuamini tu,lakini hatimaye akawa Rais,ukiwa msema kweli kwenye kizazi Cha Sasa kilichojaa Uzandiki,Uongo,ufisadi na Rushwa ni lazima utengwe !,ila inapaswa ujipe moyo maana wapo watu pia wanaokuunga mkono !
 
Sahihi subiri Mbowe akienda kuchukua fomu atasindikizwa na viongozi wa mikoa na wilaya zote Tanzania nzima wa Chadema na wajumbe kibao wa mkutano mkuu kumpelekea Lisu message sent kabla hata hajarudisha fomu ili ajue Mbowe sio saizi yake mapema kabisa
 
Hao ni machawa, nccr na hata CUF zilikufa Kwa Masultan wake kushindwa kusoma alama za nyakati
 
Kuchukua fomu siyo sawa na kwenda kurudisha fomu, vikao vya maadili hukata watu kwa kwenda na kundi la watu na shangwe kwani hutafsiriwa kama kuanza kampeni kabla ya wakati
Naamini kanuni na taratibu zinazoongoza uchaguzi wao wagombea wanajua
 
Back
Top Bottom