Pre GE2025 Kuonyesha kwamba Lissu haungwi mkono na mtu yeyote ndani ya CHADEMA, leo amekwenda akiwa mpweke kuchukua fomu

Pre GE2025 Kuonyesha kwamba Lissu haungwi mkono na mtu yeyote ndani ya CHADEMA, leo amekwenda akiwa mpweke kuchukua fomu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Yaani hiyo haitutishi sisi tunaojua siasa za kweli, ila atake asitake Mbowe ajue muda wa mabadiliko ukifika umefika.
Mbowe yuko kwenye wakati Mgumu sana kwa sasa hajui achukue njia ipi. Asimame kwenye upinzani wa kweli (yaani amuunge Lisu mkono) ama aendelee kuwa upande wa watawala dhalimu kwa mgongo wa upinzani feki. Akibugi tu, atajua hajui!

YESU NI BWANA NA MWOKOZI
 
Sahihi subiri Mbowe akienda kuchukua fomu atasindikizwa na viongozi wa mikoa na wilaya zote Tanzania nzima wa Chadema na wajumbe kibao wa mkutano mkuu kumpelekea Lisu message sent kabla hata hajarudisha fomu ili ajue Mbowe sio saizi yake mapema kabisa
Ukweli ni huu ...kama CHADEMA itamkata LISUkikatili wajue kuwa wanawafuata UMD,NLD,TLP na kina Chifu Ihemba!
 
A lone wolf ambaye tiss hawalali ni vikao usiku kucha

Mama mkuu aliona Mnyama Simba mfalme wa Pori akawaza kwa hofu kubwa akasema huyu anatisha sana aitwe Tundu Lisu.🤣🤣🤣
Halafu hawajui tu Mama anampenda sana Tundu Lisu awe Kiongozi mkuu ukiachilia mbali mambo ya siasa za maji taka za Afrika .


Kumkosa Lisu kwenye uongozi ni kujitangazia kuwa Watanzania hatuna akili kabisa.

Mbowe hata gombea kwa sababu anataka kuwa huru kibiashara na kisiasa . Alinusurika kufunguliwa kesi ya Ugaidi na juzi akaripoka kuwa wamtoe Rais Madarakani kwa maandamano akanusurika kufunguliwa kesi ya uhaini.

Sasa amempata mtu anayesoma maelfu ya vitabu vya sheria ,kanuni,historia na katiba za Dunia nzima. Yaani Lisu ni encyclopedia ya Siasa na uongozi Duniani . Unaachaje kumkabidhi kijiti.

Yaani utaona Kiroho safi mbowe atakavyomkabidhi Lisu Chama na kukifanya kuwa cha Kitaifa.

CCM watakosa cha kusema maana Lisu hana kashfa za rushwa , wizi na upendeleo wala ukiukaji wa taratibu na ni mtu wa kunyoosha . Ndivyo Demokrasia inavyotaka na sio Machawa kunuka wa kupamba watu . Pumbavu zao
 
Mbowe yuko kwenye wakati Mgumu sana kwa sasa hajui achukue njia ipi. Asimame kwenye upinzani wa kweli (yaani amuunge Lisu mkono) ama aendelee kuwa upande wa watawala dhalimu kwa mgongo wa upinzani feki. Akibugi tu, atajua hajui!

YESU NI BWANA NA MWOKOZI

Mbowe anakubalika kichwa chawa tena kwa watu wa ukanda mmoja na mkoa mmoja na kabila moja kama anavyokubalika Mwenyekiti wa CCM kule Kizingi mukazi tu tena kwa sababu ya maslahi na ulaji lakini kwenye mioyo ya watanzania wengi hawakubaliki kwa sababu muda wao wa kukubalika umepita .
Wasilazimishe wataabika milele. Nchi na siasa zitakosa uelekeo na nchi itabaki njia panda na wa kuinusuru ni Wavaa vitenge vya mabaka mabaka.
 
Kuna mahala popote nimeandika kuwa Mbowe alikuwa kibaraka wa CCM!!??

Kwani si ni kweli kuwa shoroba za Lumumba na White House mazungumzo yote ni kuhusu Lissu kugombea Uenyekiti wa CHADEMA!!??
Unakosea sana unapoitaja CCM. Inamaanisha kwamba Mbowe alikuwa kibaraka wa CCM sio? Je, kwanini Lissu avumilia kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chadema akiwa chini ya Mwenyekiti kibaraka wa CCM? Na kwanini alijiunga na chama ambacho Kiongozi Mkuu (Mbowe) ni kibaraka wa CCM? (Kumbuka ni Mbowe ndiye aliyemleta Lissu Chadema kutoka NCCR-Mageuzi).

Ukinijibu haya vizuri, nahamia Chadema!
 
Back
Top Bottom