Pre GE2025 Kuonyesha kwamba Lissu haungwi mkono na mtu yeyote ndani ya CHADEMA, leo amekwenda akiwa mpweke kuchukua fomu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Naona watu wamevamiwa na homa iitwayo Lissu!
Sioni cha ajabu kwa Lissu kuchukua fomu ya kugombea nafasi hiyo ya Uenyekiti.
 
Ni kama mwanachama mpya ndani ya CHADEMA, hajasindikizwa hata na kiongozi wa chama kutoka mkoani kwake, au hata wanachama wa kawaida.

Soma Pia: Tundu Lissu achukua rasmi Fomu ya kugombea Uenyekiti CHADEMA

A lone wolf. Failure to plan, is planning to fail, plan yake haikuwa uenyekiti, ila umakamu.

Vijana wapumbavu wa anapambana na mtu anayegombea uongozi kwa mara ya kwanza badala ya kupambana na mtu aliyekaa madarakani miaka 20 halafu eti bado aongeze muda afikishe miaka 30 . Chama cha Demokrasia hakiwezi kuwa na watu wapuuzi kama hawa halafu kinataka kukitoa madarakani chama cha kikomunisti kama CCM . Hivi Chadema ingekuwa imeshika dola ingekuaje kama mtu aliyegombea Urais wa nchi anapigwa vita na kuonekana ni mhaini kwa kugombea Uenyekiti tu wa chama tena chama kidogo tu ambacho hakijawahi kupata hata 40 % ya kura za wanachama wake zaidi ya kura za kuokoteza baada ya CCM kuvurugana.

Hivi kwa mfano CCM ilsimamishe Kasimu Majaliwa 2025 hata pawe na tume huru mnafikiri kwa huu utoporo wenu mtatoboa .

Chama cha Kibepari kikikosa Demokrasia ni kibaya na hatari kuliko Mfumo wa kitumwa na biashara ya watumwa.

Mbowe astaafu na atapata heshima kubwa sana na kwa sababu ana watu wengi nyuma yake atakua na kauli kubwa sana ndani ya Chama kama alivyo Zito kabwe.

Mbowe ni muungwana sana na hatutegemei kuwa anaweza kumruhusu Lisu achukue Fomu ili wapimane nguvu.

Kama kweli Mbowe atagombea basi nitamfuta kabisa miongini mwa watu wenye busara na hekima . Nitahakikisha 2025 Chadema haipati hata kura laki tano. Na utakua ndio mwisho wa Chadema kuwa Chama kikuu cha upinzani. Haiwezekani Mbowe amwamini Lisu kuwa anaweza kuongoza nchi halafu alimwamini kuwa anaweza kuongoza Chama . Vinginevyo basi kuna maslahi makubwa anayoyapata kuliko anayopoteza.

Lisu aliwahii kumwambia Mbowe ,Mwenyekiti kama utachukua fomu kugombea Uenyekiti mimi sitachukua fomu za kugombea ." Kwa hiyo haiwezekani Mbowe amruhusu kugombea bila kushauriana. Na kama ndivyo basi chama kimefikia Mwisho mana Mbowe katika Ulimwengu wa Roho hana nafasi ya kwenda mbele zaidi kama alivyo Samia .

Watanzania wengi 85 % wanaimani na watu aina ya Lisu na sio aina ya Mbowe . Mfano ni Makonda pamoja na kuchafuliwa sana lakini watanzania wanamkubali kwa sababu wanaamini kuwa hapendi Kona kona.
Hali kadhalika Lisu kuna watu mpaka ndani ya CCM wanamkubali sana kwa misimamo yake na uwezo wake wa kujenga hoja kisheria na kukemea ufisadi wazi bila kujali chama .
Hali hiyo inawafanya wetu wengi kumwona Lisu kama mbeba maono ya Taifa hili.

Mbowe anatakiwa sasa ajitokeze hadharani kuwaeleza watu wazi wazi kuwa kwa miaka 20 alizotumikia chama zinatosha na sasa anakabidhi kijiti kwa mtu mwingine . Kukaa kimya kutazidi kuibua wajinga kutawala majukwaa ya mitandao na kuua Demokrasia inavyotaka kuonekana kwa vitendo ndani ya Chadema .
 
Hiyo ndio kawaida ya misukule mamluki
 
Yaani hiyo haitutishi sisi tunaojua siasa za kweli, ila atake asitake Mbowe ajue muda wa mabadiliko ukifika umefika.

Mbowe akijatibu kugombea ili kufikisha ROBO KARNE kwenye kiti basi kitakacho msaidia ni vyombo vya dola maana kuna mikoa akifika atazomewa kama mbwa Koko.
Hata ndoa ikifikia miaka 20 watu wanaishi kwa kuvumiliana lakini upendo unakua chini tofauti na miaka 10.

Mbowe asilete aibu maana atakivuruga chama na watawapa CCM nafasi kubwa ya kusema chama ni chama cha Wachagga na ni SACCOS ya Mbowe.
Kura za wajumbe 1300 zinaweza zikamchagua lakini Watanzania wengi wa ameshakata tamaa kwa Mbowe kukipeleka chama mbele.

Nimesikiliza Mwenyekiti wa kanda fulani akisema kuwa eti atamchukulia mbowe fomu na kumwomba aendelee kukalia kiti kwa ROBO karne kwenye Chama cha Kidemokrasia . Nikamdharau sana . MPumbavu kabisa. Yaani mtu anayegombea kwa mara ya kwanza tena aliyewahi kugombea Urais anapigwa vita utafikiri ni uhaini.
chadema ina baadhi ya vijana wa hovyo sana.
 
Sahihi subiri Mbowe akienda kuchukua fomu atasindikizwa na viongozi wa mikoa na wilaya zote Tanzania nzima wa Chadema na wajumbe kibao wa mkutano mkuu kumpelekea Lisu message sent kabla hata hajarudisha fomu ili ajue Mbowe sio saizi yake mapema kabisa

Machawa tu hao
 
Wajumbe ndio wanaopiga kura subiri uone wajumbe wa mkutano mkuu wakimsindikiza Mbowe kuchukua fomu ndipo kichwa chako kitaelewa

Kwa sasa uko gizani tu

Kanuni haziruhusu kusindikizwa. Pia wajumbe hawapiki kura kwa mihemuko.
 
Wajumbe ndio wanaopiga kura subiri uone wajumbe wa mkutano mkuu wakimsindikiza Mbowe kuchukua fomu ndipo kichwa chako kitaelewa

Kwa sasa uko gizani tu
Ni haki yao kumpigia kura yoyote wamtakaye, lakini mabadiliko ndani ya cdm hayakwepeki.
 
A lone wolf ambaye amefanya kila kiunga cha Lumumba na White House kuzungumziwa yeye!!!??

A lone wolf ambaye kila chombo cha habari mpaka kipeperushi cha CCM kumzungumziaa!!???

A lone wolf ambaye amefanya machawa kutembea wakiwa wamevaa diapers kwa kuwa wanajiharishia non-stop!!!???
Unakosea sana unapoitaja CCM. Inamaanisha kwamba Mbowe alikuwa kibaraka wa CCM sio? Je, kwanini Lissu avumilia kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chadema akiwa chini ya Mwenyekiti kibaraka wa CCM? Na kwanini alijiunga na chama ambacho Kiongozi Mkuu (Mbowe) ni kibaraka wa CCM? (Kumbuka ni Mbowe ndiye aliyemleta Lissu Chadema kutoka NCCR-Mageuzi).

Ukinijibu haya vizuri, nahamia Chadema!
 
Sahihi subiri Mbowe akienda kuchukua fomu atasindikizwa na viongozi wa mikoa na wilaya zote Tanzania nzima wa Chadema na wajumbe kibao wa mkutano mkuu kumpelekea Lisu message sent kabla hata hajarudisha fomu ili ajue Mbowe sio saizi yake mapema kabisa
Endelea kumuabudu huyo Dj mbowe na umpe habari chama sio mali yake hata kama allidhishwa na baba mkwe.
 
Sahihi subiri Mbowe akienda kuchukua fomu atasindikizwa na viongozi wa mikoa na wilaya zote Tanzania nzima wa Chadema na wajumbe kibao wa mkutano mkuu kumpelekea Lisu message sent kabla hata hajarudisha fomu ili ajue Mbowe sio saizi yake mapema kabisa
Mbowe akichukua fomu atakuwa ametia muhuri wa moto kwa umma, kithibitisha kuwa "chadema ni Saccos yake". Athubutu aone.
 
Ni kama mwanachama mpya ndani ya CHADEMA, hajasindikizwa hata na kiongozi wa chama kutoka mkoani kwake, au hata wanachama wa kawaida.

Soma Pia: Tundu Lissu achukua rasmi Fomu ya kugombea Uenyekiti CHADEMA

A lone wolf. Failure to plan, is planning to fail, plan yake haikuwa uenyekiti, ila umakamu.
Great minds discuss ideas, average minds discuss events, mediocre minds duscuss people-:Socrates.
Muda mrefu sikuwepi JF. Ninerudi leo kuna threads zaudinya tano zin mu attack Tundu Lissu. What does it show. Upande wa pili wanao masquarade as Chadema members are afraid . Very afraid. They know what will happen if Lissu becomes the main leader of CDM.☹️☹️☹️☹️☹️☹️
 
Ni kama mwanachama mpya ndani ya CHADEMA, hajasindikizwa hata na kiongozi wa chama kutoka mkoani kwake, au hata wanachama wa kawaida.

Soma Pia: Tundu Lissu achukua rasmi Fomu ya kugombea Uenyekiti CHADEMA

A lone wolf. Failure to plan, is planning to fail, plan yake haikuwa uenyekiti, ila umakamu.
Huhuyu tunamtaka style yake ya jeshi la mtu mtu mmoja

2020;alimhenyesha magufuli mpaka afya yake ikadorora na kupeleka mauti
 
A lone wolf ambaye amefanya kila kiunga cha Lumumba na White House kuzungumziwa yeye!!!??

A lone wolf ambaye kila chombo cha habari mpaka kipeperushi cha CCM kumzungumziaa!!???

A lone wolf ambaye amefanya machawa kutembea wakiwa wamevaa diapers kwa kuwa wanajiharishia non-stop!!!???
A lone wolf ambaye tiss hawalali ni vikao usiku kucha
 
A lone wolf aliyekataa mabilioni ya Abdul, angekuwa tajiri saa hizi
 
Back
Top Bottom