Pre GE2025 Kuonyesha kwamba Lissu haungwi mkono na mtu yeyote ndani ya CHADEMA, leo amekwenda akiwa mpweke kuchukua fomu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ni kama mwanachama mpya ndani ya CHADEMA, hajasindikizwa hata na kiongozi wa chama kutoka mkoani kwake, au hata wanachama wa kawaida.

Soma Pia: Tundu Lissu achukua rasmi Fomu ya kugombea Uenyekiti CHADEMA

A lone wolf. Failure to plan, is planning to fail, plan yake haikuwa uenyekiti, ila umakamu.
Hahitaji hizo mbwembwe, ccm ndio wanambwembwe hizo za kuhadaa umma kuwa wanakubalika kwa hela za wauza unga, ambazo hulipa watu kujitokeza.
 
Sahihi subiri Mbowe akienda kuchukua fomu atasindikizwa na viongozi wa mikoa na wilaya zote Tanzania nzima wa Chadema na wajumbe kibao wa mkutano mkuu kumpelekea Lisu message sent kabla hata hajarudisha fomu ili ajue Mbowe sio saizi yake mapema kabisa
Yaani hiyo haitutishi sisi tunaojua siasa za kweli, ila atake asitake Mbowe ajue muda wa mabadiliko ukifika umefika.
 
Ni kama mwanachama mpya ndani ya CHADEMA, hajasindikizwa hata na kiongozi wa chama kutoka mkoani kwake, au hata wanachama wa kawaida.

Soma Pia: Tundu Lissu achukua rasmi Fomu ya kugombea Uenyekiti CHADEMA

A lone wolf. Failure to plan, is planning to fail, plan yake haikuwa uenyekiti, ila umakamu.
Chaguzi za CDM ni tofauti kabisa na zile za CCM. Mambo ya shamrashamra za kipuuzi hazipo wala hutaziona.

Mshangao wa wengi utatokea pale Mbowe asipochukua fomu na kisha kumuunga mkono Lissu moja kwa moja. Ndipo mahasimu wataelewa kuwa hawajui.

Kinachoendelea sasa ndani ya CDM katika matayarisho ya uchaguzi wa ngazi ya Taifa ni akili kubwa sana. Kila kitu kipo "very well arranged and calculated" kilichobakia ni kumuaibisha shetani na nguvu zake zote, na hila zake zote, na ufyatu wake wote.
 
Yaani hiyo haitutishi sisi tunaojua siasa za kweli, ila atake asitake Mbowe ajue muda wa mabadiliko ukifika umefika.
Mwishowe atakuwa kama Profesa Lipumba atabaki kuitwa Ikulu kunywa Juisi na kupewa hela ya BOLT kurejea Nyumbani.
 
Hapo naona akamdai mwalimu wake wa Inglishi amrudishie chenji ya ada yake.
Wewe ng'wamagigisi, soma na hii.
Screenshot_20241217-205602.jpg
 
Ni kama mwanachama mpya ndani ya CHADEMA, hajasindikizwa hata na kiongozi wa chama kutoka mkoani kwake, au hata wanachama wa kawaida.

Soma Pia: Tundu Lissu achukua rasmi Fomu ya kugombea Uenyekiti CHADEMA

A lone wolf. Failure to plan, is planning to fail, plan yake haikuwa uenyekiti, ila umakamu.
Kwani shida ni nini? Umeshasoma kabisa kuwa anatakiwa kuwa makini
Ni kama mwanachama mpya ndani ya CHADEMA, hajasindikizwa hata na kiongozi wa chama kutoka mkoani kwake, au hata wanachama wa kawaida.

Soma Pia: Tundu Lissu achukua rasmi Fomu ya kugombea Uenyekiti CHADEMA

A lone wolf. Failure to plan, is planning to fail, plan yake haikuwa uenyekiti, ila umakamu.
Kwani shida nini na ulitaka aandamane na nani!! Na uneshasoma kuwa anatakiwa kuwa makini na yanayoendelea haya maCCM mamluki yanayotaka kumwandama ili wamsingizie mwenyekiti wake!.
Msafara wa mamba na Kenge wamo!
Usishangae hata kwenye Mkutano Mkuu wa uchaguzi CCM ndio watakaoharibu kila kitu!!
 
Yaani hiyo haitutishi sisi tunaojua siasa za kweli, ila atake asitake Mbowe ajue muda wa mabadiliko ukifika umefika.
Wajumbe ndio wanaopiga kura subiri uone wajumbe wa mkutano mkuu wakimsindikiza Mbowe kuchukua fomu ndipo kichwa chako kitaelewa

Kwa sasa uko gizani tu
 
Back
Top Bottom