MWUAJI UNAHANGAIKA SANA NA HABARI ZA LISSU LAKINI KUMBUKA KUWA KILA NAFSI ITATOA HESABU YAKE SIKU HIYO YA MWISHO WA UHAI.Ni kama mwanachama mpya ndani ya chadema, hajasindikizwa hata na kiongozi wa chama kutoka mkoani kwake, au hata wanachama wa kawaida.
A lone wolf. Failure to plan, is planning to fail, plan yake haikuwa uenyekiti, ila umakamu.
😂😂😂😂😂 mnapata tabu sanaNi kama mwanachama mpya ndani ya chadema, hajasindikizwa hata na kiongozi wa chama kutoka mkoani kwake, au hata wanachama wa kawaida.
A lone wolf. Failure to plan, is planning to fail, plan yake haikuwa uenyekiti, ila umakamu.
A lone wolf ambaye tangu atangaze nia amewafanya msahau kabisa kazi yenu ya msingi ya kusifu na kuabuduNi kama mwanachama mpya ndani ya CHADEMA, hajasindikizwa hata na kiongozi wa chama kutoka mkoani kwake, au hata wanachama wa kawaida.
Soma Pia: Tundu Lissu achukua rasmi Fomu ya kugombea Uenyekiti CHADEMA
A lone wolf. Failure to plan, is planning to fail, plan yake haikuwa uenyekiti, ila umakamu.
Ulitaka akualike wewe?Hajataka kwani chawa licha ya kunyonya damu kiwizi wanaweza kukupa maradhi au kukukausha damu kabisa.Ni kama mwanachama mpya ndani ya CHADEMA, hajasindikizwa hata na kiongozi wa chama kutoka mkoani kwake, au hata wanachama wa kawaida.
Soma Pia: Tundu Lissu achukua rasmi Fomu ya kugombea Uenyekiti CHADEMA
A lone wolf. Failure to plan, is planning to fail, plan yake haikuwa uenyekiti, ila umakamu.
Lumumba kwishaaaaaNi kama mwanachama mpya ndani ya CHADEMA, hajasindikizwa hata na kiongozi wa chama kutoka mkoani kwake, au hata wanachama wa kawaida.
Soma Pia: Tundu Lissu achukua rasmi Fomu ya kugombea Uenyekiti CHADEMA
A lone wolf. Failure to plan, is planning to fail, plan yake haikuwa uenyekiti, ila umakamu.
Kumradhi ni tafakari yako au tu umbakiza bytes?Ni kama mwanachama mpya ndani ya CHADEMA, hajasindikizwa hata na kiongozi wa chama kutoka mkoani kwake, au hata wanachama wa kawaida.
Soma Pia: Tundu Lissu achukua rasmi Fomu ya kugombea Uenyekiti CHADEMA
A lone wolf. Failure to plan, is planning to fail, plan yake haikuwa uenyekiti, ila umakamu.
CCM baada ya kuona akina Yericko Nyerere hawatoshi kumchafua Lisu, sasa mazombi wameamshwa waingie vitaniNi kama mwanachama mpya ndani ya CHADEMA, hajasindikizwa hata na kiongozi wa chama kutoka mkoani kwake, au hata wanachama wa kawaida.
Soma Pia: Tundu Lissu achukua rasmi Fomu ya kugombea Uenyekiti CHADEMA
A lone wolf. Failure to plan, is planning to fail, plan yake haikuwa uenyekiti, ila umakamu.
Hao ni machawa, nccr na hata CUF zilikufa Kwa Masultan wake kushindwa kusoma alama za nyakatiSahihi subiri Mbowe akienda kuchukua fomu atasindikizwa na viongozi wa mikoa na wilaya zote Tanzania nzima wa Chadema na wajumbe kibao wa mkutano mkuu kumpelekea Lisu message sent kabla hata hajarudisha fomu ili ajue Mbowe sio saizi yake mapema kabisa
Mazombi kama yote utafikiri mzinga wa nyuki uliotibuliwa.CCM baada ya kuona akina Yericko Nyerere hawatoshi kumchafua Lisu, sasa mazombi wameamshwa waingie vitani
Hivi hii "Alone wolf" na "Lone wolf" Inamaana sawa?Ety alone wolf..........