Blood of Jesus
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 4,486
- 8,098
Mbowe yuko kwenye wakati Mgumu sana kwa sasa hajui achukue njia ipi. Asimame kwenye upinzani wa kweli (yaani amuunge Lisu mkono) ama aendelee kuwa upande wa watawala dhalimu kwa mgongo wa upinzani feki. Akibugi tu, atajua hajui!Yaani hiyo haitutishi sisi tunaojua siasa za kweli, ila atake asitake Mbowe ajue muda wa mabadiliko ukifika umefika.
Ukweli ni huu ...kama CHADEMA itamkata LISUkikatili wajue kuwa wanawafuata UMD,NLD,TLP na kina Chifu Ihemba!Sahihi subiri Mbowe akienda kuchukua fomu atasindikizwa na viongozi wa mikoa na wilaya zote Tanzania nzima wa Chadema na wajumbe kibao wa mkutano mkuu kumpelekea Lisu message sent kabla hata hajarudisha fomu ili ajue Mbowe sio saizi yake mapema kabisa
A lone wolf ambaye tiss hawalali ni vikao usiku kucha
Mbowe yuko kwenye wakati Mgumu sana kwa sasa hajui achukue njia ipi. Asimame kwenye upinzani wa kweli (yaani amuunge Lisu mkono) ama aendelee kuwa upande wa watawala dhalimu kwa mgongo wa upinzani feki. Akibugi tu, atajua hajui!
YESU NI BWANA NA MWOKOZI
Unakosea sana unapoitaja CCM. Inamaanisha kwamba Mbowe alikuwa kibaraka wa CCM sio? Je, kwanini Lissu avumilia kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chadema akiwa chini ya Mwenyekiti kibaraka wa CCM? Na kwanini alijiunga na chama ambacho Kiongozi Mkuu (Mbowe) ni kibaraka wa CCM? (Kumbuka ni Mbowe ndiye aliyemleta Lissu Chadema kutoka NCCR-Mageuzi).
Ukinijibu haya vizuri, nahamia Chadema!