Kuota naokota hela, hii ndoto ina maana gani?

Nilijifunza kutokupuuzia ndoto nnazoota huwa najitahidi kufatilia na kuulizia maana yake, kwani nimekua naota mambo halafu yanatokea kweli yanatokea vile vile nnavoona kwenye ndoto, hadi najihisi unabii unaninyemelea.

Wiki kama mbili hivi zilizopita niliota nimepita njiani kuna kisima kimejaa maji, ndani ya kisima kuna vibunda vya noti za elf kumi kumi vinaelea juu ya maji basi nikaziokota nyingiii niakaacha kama viwili tu, nikaingia ndani nikawa nazisambaza kitandani ili zikauke.

Usiku wa leo nimeota nimeenda kanisani kwenye bench nilipokaa nikakuta kuna hela nyingi elf kumi kumi, nikafanya kilichonipeleka kisha nikabeba zile hela sijui nimeiba au nimeokota ila niliondoka nazo.

Wataalamu wa haya mambo, hizi ndoto za hela maana yake ni nini???
Mshana Jr BIN NUN na wengine mnaojua.
Hizi ndoto mimi kwa mwaka naweza kuziota hata mara tano! Huwa zinajirudia mno.
 
Si ndoto nzuri, vice versa hizo ndoto
 
Unakaribia mbinguni
 
Kwanza kujirudia mara mbili ni kwamba iyo ndoto inatoka kwa Mungu na anakwambia/anakuhakikishia kwamba hakika itakuwa.

Maji: Inamaanisha watu au nchi
Pesa; inamaanisha Heshima, utawala au utatuzi
Kwenye benchi: Penye watu
Kanisani: Amani au Utulivu

Kwahiyo: Siku zijazo utapata uongozi au heri fulani ya maisha, utaipata katikati ya ya watu bila kuitolea jasho either kwa kupendelewa au kuirithi, hii heri itakuwa kwenye eneo lisilochangamana na wengine, bahati mbaya uzinzi utakuponza maana utaitapanya iyo heri kwa njia ya sirini(kitanda). Mwombe Mungu akujalie kutubu ukianguka uweze kuinuka tena maana itakuwa bado kuna azina yako uliacha kule kisimani japo haitokuwa kubwa Kama ile ya kwanza.
 
Duh! Tugawane ndugu yangu. Tuyaache hayo ebana mimi nikiota naogelea kwenye maji masafi halafu ni mengi mambo yangu huwa yananyooka sana.

Lakini siku niote naogelea kwenye mabwawa ya mavi au niwe nang'oa meno yote kwa ulimi!! Nitajuta kuzaliwa yaani akiba ya mwisho unajikuta una laki nyambaff.
 
Nilijifunza kutokupuuzia ndoto nnazoota huwa najitahidi kufatilia na kuulizia maana yake, kwani nimekua naota mambo halafu yanatokea kweli yanatokea vile vile nnavoona kwenye ndoto, hadi najihisi unabii unaninyemelea.

Wiki kama mbili hivi zilizopita niliota nimepita njiani kuna kisima kimejaa maji, ndani ya kisima kuna vibunda vya noti za elf kumi kumi vinaelea juu ya maji basi nikaziokota nyingiii niakaacha kama viwili tu, nikaingia ndani nikawa nazisambaza kitandani ili zikauke.

Usiku wa leo nimeota nimeenda kanisani kwenye bench nilipokaa nikakuta kuna hela nyingi elf kumi kumi, nikafanya kilichonipeleka kisha nikabeba zile hela sijui nimeiba au nimeokota ila niliondoka nazo.

Wataalamu wa haya mambo, hizi ndoto za hela maana yake ni nini???
Mshana Jr BIN NUN na wengine mnaojua.
Tafsiri ya ndooto yako ewe Evelyn Salt ni ; ndoto ya kwanza na ya pili ni moja, ile ndoto ya pili ni tafsiri ya ndoto ya pili, baada ya kuitafakari. Kuna kitu Bwana Mungu anakusemesha nafahamu unajua.
 
Ndio sijajua ananisemeshaje au nitoke nikatafute hela kuna fungu langu lipo mahali😁 kwakeli natamani kupata maana yake.
 
Daaah me Niliota baba angu r.i.p amenifungulia biashara na ela napata siku nyingine nikaota mzee kanipa dola 4000 za kimarekani sasa sielewi
 
Nilijifunza kutokupuuzia ndoto nnazoota huwa najitahidi kufatilia na kuulizia maana yake, kwani nimekua naota mambo halafu yanatokea kweli yanatokea vile vile nnavoona kwenye ndoto, hadi najihisi unabii unaninyemelea.

Wiki kama mbili hivi zilizopita niliota nimepita njiani kuna kisima kimejaa maji, ndani ya kisima kuna vibunda vya noti za elf kumi kumi vinaelea juu ya maji basi nikaziokota nyingiii niakaacha kama viwili tu, nikaingia ndani nikawa nazisambaza kitandani ili zikauke.

Usiku wa leo nimeota nimeenda kanisani kwenye bench nilipokaa nikakuta kuna hela nyingi elf kumi kumi, nikafanya kilichonipeleka kisha nikabeba zile hela sijui nimeiba au nimeokota ila niliondoka nazo.

Wataalamu wa haya mambo, hizi ndoto za hela maana yake ni nini???
Mshana Jr BIN NUN na wengine mnaojua.
Ukame unakunyemelea.
Unaweza kupitia kipindi kigumu sana kipesa.
 
Duh! Tugawane ndugu yangu. Tuyaache hayo ebana mimi nikiota naogelea kwenye maji masafi halafu ni mengi mambo yangu huwa yananyooka sana.

Lakini siku niote naogelea kwenye mabwawa ya mavi au niwe nang'oa meno yote kwa ulimi!! Nitajuta kuzaliwa yaani akiba ya mwisho unajikuta una laki nyambaff.
Duh pole na hongera
 
Back
Top Bottom