Kuota naokota hela, hii ndoto ina maana gani?

Nilijifunza kutokupuuzia ndoto nnazoota huwa najitahidi kufatilia na kuulizia maana yake, kwani nimekua naota mambo halafu yanatokea kweli yanatokea vile vile nnavoona kwenye ndoto, hadi najihisi unabii unaninyemelea.

Wiki kama mbili hivi zilizopita niliota nimepita njiani kuna kisima kimejaa maji, ndani ya kisima kuna vibunda vya noti za elf kumi kumi vinaelea juu ya maji basi nikaziokota nyingiii niakaacha kama viwili tu, nikaingia ndani nikawa nazisambaza kitandani ili zikauke.

Usiku wa leo nimeota nimeenda kanisani kwenye bench nilipokaa nikakuta kuna hela nyingi elf kumi kumi, nikafanya kilichonipeleka kisha nikabeba zile hela sijui nimeiba au nimeokota ila niliondoka nazo.

Wataalamu wa haya mambo, hizi ndoto za hela maana yake ni nini???
Mshana Jr BIN NUN na wengine mnaojua.
Hapo ukaingia hadi tukaninukanunua iphone 14 pro max kustuka asubuhi salaaleeeeh infinix hot 10 ipo kwa bed!!
 
Kwakweli fungu la kumi sijawahi kutoa, endelea mtumishi nasubiria
Ninashindwa kusema mengi kwani siijui imani yako.
Kimsingi muumini yeyote wa Kikristo bila kujali dhehebu fungu la kumi ni ufunguo muhimu kiuchumi na ni hatari ukienda kinyume chake.

7 Tokea siku za baba zenu mmegeuka upande, mkayaacha maagizo yangu, wala hamkuyashika. Nirudieni mimi, nami nitawarudia ninyi, asema Bwana wa majeshi. Lakini ninyi mwasema, Turudi kwa namna gani?
Malaki 3:7

8 Je! Mwanadamu atamwibia Mungu? Lakini ninyi mnaniibia mimi. Lakini ninyi mwasema, Tumekuibia kwa namna gani? Mmeniibia zaka na dhabihu.
Malaki 3:8

9 Ninyi mmelaaniwa kwa laana; maana mnaniibia mimi, naam, taifa hili lote.
Malaki 3:9

10 Leteni zaka kamili ghalani, ili kiwemo chakula katika nyumba yangu, mkanijaribu kwa njia hiyo, asema Bwana wa majeshi; mjue kama sitawafungulia madirisha ya mbinguni, na kuwamwagieni baraka, hata isiwepo nafasi ya kutosha, au la.
Malaki 3:10

11 Nami kwa ajili yenu nitamkemea yeye alaye, wala hataharibu mazao ya ardhi yenu; wala mzabibu wenu hautapukutisha matunda yake kabla ya wakati wake katika mashamba, asema Bwana wa majeshi.
Malaki 3:11
 
Amina mtumishi nitajifungulia kwa kutoa fungu la kumi, ahsante
 
Hiyo ndoto siyo njema ulitakiwa uote nafanya biashara umezingirwa na wateja.
 
Unajua ndoto ni sehemu ya mawazo yetu yakutwa nzima wakati mwingine, sasa kwa namna ya ndoto yako hizo ni sehemu ya stress za kutwa nzima unaiwazia sana pesa kiasi chakutamani hata uwe unaokota kama maembe. So in general huo ni kama mrejesho wa kutwa nzima kwenye akili yako.
 
Alooo madame kuwaa makini sana usikubali kuota tena dizaini hiyo ya ndoto. Kuna jamaa alitoa kabeba gunia la sarafu, mara ghafla likaanza kudondosha sarafu, ikabidi alifunge kwa juu kwa mkono wa kulia na kwenye tundu akaziba na mkono wa kushoto. Kuamka asubuhi akakuta kajikaba koo na kaziba tundu lile lingine na mkono, soo watch out
 
😂😂😂😂🙌
 
Nilijifunza kutokupuuzia ndoto nnazoota huwa najitahidi kufatilia na kuulizia maana yake, kwani nimekua naota mambo halafu yanatokea kweli yanatokea vile vile nnavoona kwenye ndoto, hadi najihisi unabii unaninyemelea.

Wiki kama mbili hivi zilizopita niliota nimepita njiani kuna kisima kimejaa maji, ndani ya kisima kuna vibunda vya noti za elf kumi kumi vinaelea juu ya maji basi nikaziokota nyingiii niakaacha kama viwili tu, nikaingia ndani nikawa nazisambaza kitandani ili zikauke.

Usiku wa leo nimeota nimeenda kanisani kwenye bench nilipokaa nikakuta kuna hela nyingi elf kumi kumi, nikafanya kilichonipeleka kisha nikabeba zile hela sijui nimeiba au nimeokota ila niliondoka nazo.

Wataalamu wa haya mambo, hizi ndoto za hela maana yake ni nini???
Mshana Jr BIN NUN na wengine mnaojua.
Baraka za Mwenyezi Mungu zipo karibu sana na wewe, ila umekuwa mzito kuzikaribisha!

Ndoto ya kwanza, unaonyeshwa unatafuta hela (unafanya kazi), na Mungu anakujalia, unapata hela za kutosha, lakini hutoi sadaka.

Ndio maana ndoto ya pili umeota upo kwenye mabechi kanisani na mahela mengi, lakini ukatoka bila hata kutoa shukurani.

Mwenyezi Mungu anasema: nijaribuni kwa sadaka nanyi mtaona madirisha ya baraka yatafunguka mpate mali nyingi hata mkose mahali pa kuziweka. Kwa hiyo ndugu yangu, nenda katoe sadaka (fungu la kumi).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ota vyoote, ila ukiota umeona choo, usiingie ni mtego huo. 😂 😂
Hamna ndoto nazipenda Kama za choo tena kiwe kichafu haipiti wiki lazima nipate pesa ya maana.. Ila nikiota hela dahhhhh huwa nakaukiwa kabisa...Maajabu!
 
Baraka za Mwenyezi Mungu zipo karibu sana na wewe, ila umekuwa mzito kuzikaribisha!

Ndoto ya kwanza, unaonyeshwa unatafuta hela (unafanya kazi), na Mungu anakujalia, unapata hela za kutosha, lakini hutoi sadaka.

Ndio maana ndoto ya pili umeota upo kwenye mabechi kanisani na mahela mengi, lakini ukatoka bila hata kutoa shukurani.

Mwenyezi Mungu anasema: nijaribuni kwa sadaka nanyi mtaona madirisha ya baraka yatafunguka mpate mali nyingi hata mkose mahali pa kuziweka. Kwa hiyo ndugu yangu, nenda katoe sadaka (fungu la kumi).

Sent using Jamii Forums mobile app
Umetafsiri vizuri Sana!wewe sio Daniel kweli?
 
Hamna ndoto nazipenda Kama za choo tena kiwe kichafu haipiti wiki lazima nipate pesa ya maana.. Ila nikiota hela dahhhhh huwa nakaukiwa kabisa...Maajabu!
Dah.. Kweli kila mtu na mavumba yake.
 
Baraka za Mwenyezi Mungu zipo karibu sana na wewe, ila umekuwa mzito kuzikaribisha!

Ndoto ya kwanza, unaonyeshwa unatafuta hela (unafanya kazi), na Mungu anakujalia, unapata hela za kutosha, lakini hutoi sadaka.

Ndio maana ndoto ya pili umeota upo kwenye mabechi kanisani na mahela mengi, lakini ukatoka bila hata kutoa shukurani.

Mwenyezi Mungu anasema: nijaribuni kwa sadaka nanyi mtaona madirisha ya baraka yatafunguka mpate mali nyingi hata mkose mahali pa kuziweka. Kwa hiyo ndugu yangu, nenda katoe sadaka (fungu la kumi).

Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante mtumishi,huenda kweli nakumbushwa sadaka nitalifanyia kazi
 
Back
Top Bottom