Kupagawishana, kuchezeana na kuamsha mizuka kwenye simu

Huo ujinga nilikuwa naufanya wakati nipo sekondari. Kumbe kuna wenzetu mnaendelea nao hadi ukubwani
 
Tumefanya sana hizi mambo, anakuwekea kipapa hahahaha dah, kweli dunia duara. Kinawekwa pale kinachezewa hadi umatemate...

Huku wewe unamwambia ashike huku, mara kule..hivi mara vile....it was childish, but huo ndio ujana wenyewe!

Mkimaliza unakwea mnazi unalala kama mtoto.
 
Yan watu wapo gerezan wanawapambania nyie mnapqndishana NY ege huku.
kila kitu na umri na majukumu ,ila kwa wanawake ivi vitu wanapenda haijalishi umri, ndo maana lissu anapambania NRNE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…