Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
- #81
Mzee mwenzangu, ni kweli na hisia zinapanda haswaaa, mnapumuliana tu humo kwenye simu 😅 .Tumefanya sana hizi mambo, anakuwekea kipapa hahahaha dah, kweli dunia duara. Kinawekwa pale kinachezewa hadi umatemate...
Sisi bado tunamalizia ya ujanani, acha tusivuke steji, tufanye tu tumalize yote.Huku wewe unamwambia ashike huku, mara kule..hivi mara vile....it was childish, but huo ndio ujana wenyewe!
😅 Ndiyo, genye zinakua zimepungua kidogo 😂.Mkimaliza unakwea mnazi unalala kama mtoto.