onestopcenter
JF-Expert Member
- Aug 28, 2025
- 363
- 733
Maamuzi tu, ujue napo kuwa single na kutofanya mapenzi ni raha sana. Now days nina enjoy sana kuwa hivi nilivyo.. Nafurahi kwanza hata kutokufanya mapenzi
Imekuwaje ukawa huna mpaka sasa?
😂 😂