Kupagawishana, kuchezeana na kuamsha mizuka kwenye simu

Tumefanya sana hizi mambo, anakuwekea kipapa hahahaha dah, kweli dunia duara. Kinawekwa pale kinachezewa hadi umatemate...
Mzee mwenzangu, ni kweli na hisia zinapanda haswaaa, mnapumuliana tu humo kwenye simu πŸ˜… .
Huku wewe unamwambia ashike huku, mara kule..hivi mara vile....it was childish, but huo ndio ujana wenyewe!
Sisi bado tunamalizia ya ujanani, acha tusivuke steji, tufanye tu tumalize yote.
Mkimaliza unakwea mnazi unalala kama mtoto.
πŸ˜… Ndiyo, genye zinakua zimepungua kidogo πŸ˜‚.
 
DAH umenichekesha eti unakwea mnazi,ni kweli kwenye ujana na utoto lazima upitie ivyo vitu ila nishakutana na wanawake huo utoto wameshapita ila bado wanataka kuchatishana huo ujinga wanawake nahisi wanapenda sana izo mambo,
 
huyu mtu humu anaagenda yake ya siri na taratibu annanza kuipenyeza kwa great thinkers!!!!! mark this post huyu mtu si salama kwa afya ya akili😑
 
Mzee mwenzangu, ni kweli na hisia zinapanda haswaaa, mnapumuliana tu humo kwenye simu πŸ˜… .

Sisi bado tunamalizia ya ujanani, acha tusivuke steji, tufanye tu tumalize yote.

πŸ˜… Ndiyo, genye zinakua zimepungua kidogo πŸ˜‚.
Malizeni tu kwa kweli, usijekuwa 40s huku unaendelea kuwa kijana πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Naenda mwaka wa pili, sijafanya mapenzi.. hadi nasahahu pa kuingiza.. kweli umri unatutenganisha na mambo mengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…