stabilityman
JF-Expert Member
- Jul 9, 2024
- 259
- 483
Wakuu mimi Niko hapa kwenu nawapa tip ya ujenzi hii hapa maana mimi kwenye ujenzi nmeboboa.
Kutreat mbao kwa dawa zile za kijani kijani wanazopiga wengi wauzaji wa mbao.
Oili chafu inadumu muda mrefu zaidi kuliko hizi dawa.
Ukweli ndio huo oili kwanza kadili inavyopigwa joto ndio kwanza inaingia ndani na mdudu hagusi kama umepiga vzr .Ila hizi dawa za sikuhz nyingi hamna kitu ni maumivu tu baada ya muda mfupi zinabungua.
Huwa tunafumua nyumba za miaka ya 90 lakin unakuta mbao bado ngumu ilipigwa oil .
Nisiwachoshe
Nauliza swali je kwanini mafundi wengi hawapendi kupaua kwa mbao zilizo pigwa oil kuliko mbao zilizopigwa dawa za sikuhz?
Naomba majibu mimi ni fundi kupaua 0743257669 nitumie kwa kazi za mapaa ya kisasa