Rashidi Jololo
JF-Expert Member
- Sep 21, 2022
- 1,704
- 2,858
- Thread starter
-
- #41
Weka link ya hilo tangazo, achana na vipeperushi vya MFUKONI (Habari ni sahihi, lakini HAKUNA SEHEMU RASMI lilipowekwa, wewe mwenyewe umeshindwa kuweka link umeishia kusema nenda kwenye tovuti ya wizara). Nchi ngumu sana hii..Ingia website ya wizara ya kilimo
Mi naongea tu vitu nilivyoviona, sipo kichama wala itikadi yyt ndugu
Sio kila mtu ni mbishani, mi sipo hapa kubishana, kwan umeshindwa nini kuingia website ya wizara ukathibitisha nlichosema, acha uvivu wa fikra na ujuaji wa kila kituWeka link ya hilo tangazo, achana na vipeperushi vya MFUKONI (Habari ni sahihi, lakini HAKUNA SEHEMU RASMI lilipowekwa, wewe mwenyewe umeshindwa kuweka link umeishia kusema nenda kwenye tovuti ya wizara). Nchi ngumu sana hii..
UTAPELI MTUPU, ni vijana wangapi wapo kwenye sekta ya kilimo huko vijijini na wanahangaika kukosa TIJA kwenye kilimo chao hadi kukimbilia mijini na kujiajiri kwenye BODABODA? Hizo ekari 10 vijana huko mashambani unadhani wamezikosa?Sio kila mtu ni mbishani, mi sipo hapa kubishana, kwan umeshindwa nini kuingia website ya wizara ukathibitisha nlichosema, acha uvivu wa fikra na ujuaji wa kila kitu
Basi ukitaka Tangazo ingia hapa
Ukitaka kuapply Online ingia hapa
Tangazo lenyewe limewekwa KIMKAKATI ili lisionwe na watu wengi badala yake liwanufaishe UVCCM na magenge tu, fuatilia mwisho wa huo mradi utakuja kuleta ushuhuda hapa aina ya wanufaika wake. KATIBA MPYA haiepukiki kipindi hikiDuh!
Samahani, kabla ya kuweka niliyoweka hapo juu nilikuwa sijaiona hii hapa.
Nitangulize shukrani, hata kabla sijafungua hiyo habari uliyoweka sasa hivi.
Program ndio imeanzishwa, sio wote watapata, phase ya kwanza watapata baadhi hivyo hivyo na kuendelea, sawa katiba mpya ni muhimu lakini sio kila kinachofanywa ni kubeza tu, we ukiulizwa hapo unauhakika gani kila atakae chaguliwa ni uvccm, punguza uchama na mihemko ya kisiasaUTAPELI MTUPU, ni vijana wangapi wapo kwenye sekta ya kilimo huko vijijini na wanahangaika kukosa TIJA kwenye kilimo chao hadi kukimbilia mijini na kujiajiri kwenye BODABODA? Hizo ekari 10 vijana huko mashambani unadhani wamezikosa?
Acha ushabiki maandazi wewe, ajira za vijana wa sensa 2022 zilitupatia funzo na muelekeo wa miradi yote ya serikali ya CCM. Umeshasahau zile ajira walipatiwa vijana gani? KATIBA MPYA ITAFUTILIA MBALI UHUNI WOTEProgram ndio imeanzishwa, sio wote watapata, phase ya kwanza watapata baadhi hivyo hivyo na kuendelea, sawa katiba mpya ni muhimu lakini sio kila kinachofanywa ni kubeza tu, we ukiulizwa hapo unauhakika gani kila atakae chaguliwa ni uvccm, punguza uchama na mihemko ya kisiasa
Wizara ya mifugo ilipoanzisha Vituo Atamizi wale vijana 240 waliohuko saizi ni uvccm??
Tujadili mema na maovu na sio kila kitu kukiona ni kibovu
Nadhani hata wewe utetezi wako huu una walakini, kwa sababu hao unaowatetea ndio wanaofanya mambo ya kuwatia watu wasiwasi kama.Program ndio imeanzishwa, sio wote watapata, phase ya kwanza watapata baadhi hivyo hivyo na kuendelea, sawa katiba mpya ni muhimu lakini sio kila kinachofanywa ni kubeza tu, we ukiulizwa hapo unauhakika gani kila atakae chaguliwa ni uvccm, punguza uchama na mihemko ya kisiasa
Wizara ya mifugo ilipoanzisha Vituo Atamizi wale vijana 240 waliohuko saizi ni uvccm??
Tujadili mema na maovu na sio kila kitu kukiona ni kibovu
Ni vijana wangapi walengwa wanao uwezo wa kuingia kwenye hizo website, huoni kuwa unajitoa akili kichwani bila kukusudia?Sio kila mtu ni mbishani, mi sipo hapa kubishana, kwan umeshindwa nini kuingia website ya wizara ukathibitisha nlichosema, acha uvivu wa fikra na ujuaji wa kila kitu
Basi ukitaka Tangazo ingia hapa
Ukitaka kuapply Online ingia hapa