Kupanda kwa gharama za maisha kunachangiwa na Katiba Mbovu ya CCM. Vijana tutumie fursa ya mradi huu sasa

Kupanda kwa gharama za maisha kunachangiwa na Katiba Mbovu ya CCM. Vijana tutumie fursa ya mradi huu sasa

Ingia website ya wizara ya kilimo
Mi naongea tu vitu nilivyoviona, sipo kichama wala itikadi yyt ndugu
Weka link ya hilo tangazo, achana na vipeperushi vya MFUKONI (Habari ni sahihi, lakini HAKUNA SEHEMU RASMI lilipowekwa, wewe mwenyewe umeshindwa kuweka link umeishia kusema nenda kwenye tovuti ya wizara). Nchi ngumu sana hii..
 
Tutumie fursa ya miradi ya mabeberu kupata KATIBA MPYA ili KUTOKOMEZA UKIRITIMBA HUU..

Zaidi ya ASILIMIA 90 ya pesa zetu za kodi zinatumika kwenye ANASA ZA VIONGOZI, kwenye maendeleo zinapelekwa KIDUCHU TU.

MAISHA MAGUMU = KATIBA MBOVU YA CCM

Bajeti.PNG
 
Weka link ya hilo tangazo, achana na vipeperushi vya MFUKONI (Habari ni sahihi, lakini HAKUNA SEHEMU RASMI lilipowekwa, wewe mwenyewe umeshindwa kuweka link umeishia kusema nenda kwenye tovuti ya wizara). Nchi ngumu sana hii..
Sio kila mtu ni mbishani, mi sipo hapa kubishana, kwan umeshindwa nini kuingia website ya wizara ukathibitisha nlichosema, acha uvivu wa fikra na ujuaji wa kila kitu
Basi ukitaka Tangazo ingia hapa
Ukitaka kuapply Online ingia hapa
 
UTAPELI MTUPU, ni vijana wangapi wapo kwenye sekta ya kilimo huko vijijini na wanahangaika kukosa TIJA kwenye kilimo chao hadi kukimbilia mijini na kujiajiri kwenye BODABODA? Hizo ekari 10 vijana huko mashambani unadhani wamezikosa?
 
Duh!

Samahani, kabla ya kuweka niliyoweka hapo juu nilikuwa sijaiona hii hapa.

Nitangulize shukrani, hata kabla sijafungua hiyo habari uliyoweka sasa hivi.
Tangazo lenyewe limewekwa KIMKAKATI ili lisionwe na watu wengi badala yake liwanufaishe UVCCM na magenge tu, fuatilia mwisho wa huo mradi utakuja kuleta ushuhuda hapa aina ya wanufaika wake. KATIBA MPYA haiepukiki kipindi hiki
 
UTAPELI MTUPU, ni vijana wangapi wapo kwenye sekta ya kilimo huko vijijini na wanahangaika kukosa TIJA kwenye kilimo chao hadi kukimbilia mijini na kujiajiri kwenye BODABODA? Hizo ekari 10 vijana huko mashambani unadhani wamezikosa?
Program ndio imeanzishwa, sio wote watapata, phase ya kwanza watapata baadhi hivyo hivyo na kuendelea, sawa katiba mpya ni muhimu lakini sio kila kinachofanywa ni kubeza tu, we ukiulizwa hapo unauhakika gani kila atakae chaguliwa ni uvccm, punguza uchama na mihemko ya kisiasa
Wizara ya mifugo ilipoanzisha Vituo Atamizi wale vijana 240 waliohuko saizi ni uvccm??
Tujadili mema na maovu na sio kila kitu kukiona ni kibovu
 
Katiba ni muhimu ila pia lazima tuwe wakweli
Watanzania wengi ni wavivu wa kufuatilia mambo na wengine sio waaminifu
Wengi hawajui kabisa kama kuna pesa huwa zinatoka kwa wafadhili na wachache wanaopata hizo fursa huwa hawaendelezi miradi badala yake wanaiba na kusepa bila mtu kujua

Ndio maana vijana wengi hawasikii hizo fursa wala kuzifuatilia
Na wanaofuatilia ni hao waliomo kwenye system na ni majizi

Wanadanganya kutwa ili wajinufaishe wao huku wakiwaambia wafadhili kuwa miradi inaendelea na vijana wamepewa hizo hela

Sasa dawa hapa sio katiba tu bali kwenda kushtaki na kuhoji USAID je hela ziko wapi? Wafuatilie
 
Program ndio imeanzishwa, sio wote watapata, phase ya kwanza watapata baadhi hivyo hivyo na kuendelea, sawa katiba mpya ni muhimu lakini sio kila kinachofanywa ni kubeza tu, we ukiulizwa hapo unauhakika gani kila atakae chaguliwa ni uvccm, punguza uchama na mihemko ya kisiasa
Wizara ya mifugo ilipoanzisha Vituo Atamizi wale vijana 240 waliohuko saizi ni uvccm??
Tujadili mema na maovu na sio kila kitu kukiona ni kibovu
Acha ushabiki maandazi wewe, ajira za vijana wa sensa 2022 zilitupatia funzo na muelekeo wa miradi yote ya serikali ya CCM. Umeshasahau zile ajira walipatiwa vijana gani? KATIBA MPYA ITAFUTILIA MBALI UHUNI WOTE
 
Program ndio imeanzishwa, sio wote watapata, phase ya kwanza watapata baadhi hivyo hivyo na kuendelea, sawa katiba mpya ni muhimu lakini sio kila kinachofanywa ni kubeza tu, we ukiulizwa hapo unauhakika gani kila atakae chaguliwa ni uvccm, punguza uchama na mihemko ya kisiasa
Wizara ya mifugo ilipoanzisha Vituo Atamizi wale vijana 240 waliohuko saizi ni uvccm??
Tujadili mema na maovu na sio kila kitu kukiona ni kibovu
Nadhani hata wewe utetezi wako huu una walakini, kwa sababu hao unaowatetea ndio wanaofanya mambo ya kuwatia watu wasiwasi kama.
Kama jambo linafanywa na serikali, kwa ajili ya raia zake wote bila ya upendeleo, kwa nini taara zisitolewe waziwazi kwa kila mtu aone hizo taarifa.

Haya, mfano mwingine ni huu uliuoutoa wewe hapa kuhusu Wizara ya mifugo.
Hii habari ya "vijana 240" sijawahi kuisikia, pamoja na kwamba binafsi ni mfuatiliaji mzuri wa mambo ya wizara hiyo, kwa sababu ni mdau katika mambo hayo.

Sasa nitakuomba wewe unipe taarifa au unielekeze ninapoweza kupata taarifa za "vituo atamizi." Sihitaji kupeleka maombi yoyote huko, lakini nataka tu kujua habari juu yake.

Usiwatetee CCM, hata kama wewe ni mmoja wao.
 
Sio kila mtu ni mbishani, mi sipo hapa kubishana, kwan umeshindwa nini kuingia website ya wizara ukathibitisha nlichosema, acha uvivu wa fikra na ujuaji wa kila kitu
Basi ukitaka Tangazo ingia hapa
Ukitaka kuapply Online ingia hapa
Ni vijana wangapi walengwa wanao uwezo wa kuingia kwenye hizo website, huoni kuwa unajitoa akili kichwani bila kukusudia?

Kwa hiyo una maana miradi hii inayolenga hawa vijana, hao vijana ni wenye uwezo wa kuingia kwenye hizi website? Wapo vijana wangapi Tanzania hii wenye uwezo huo?

Kutokuwa na uwezo wa kuingia kwenye hizo website ni kizingiti kikubwa kwa vijana wengi walengwa.
 
Back
Top Bottom