Kupanda kwa gharama za maisha kunachangiwa na Katiba Mbovu ya CCM. Vijana tutumie fursa ya mradi huu sasa

Kupanda kwa gharama za maisha kunachangiwa na Katiba Mbovu ya CCM. Vijana tutumie fursa ya mradi huu sasa

We chawa badala ya kujibu hoja unaleta matusi tena? Unafikiri sisi wengine hatujui kutukana? Tatizo la kuishi kwa buku saba saba limeharibu vijana wengi sana
 
Kijana umechagua kuishi maisha rahisi ya UCHAWA kwa kupamba na kusifu mambo ya hovyo hovyo, si ajabu kumekuwa na wimbi kubwa la ushoga miaka hii
 
Haya, na mimi nitumie nafasi kwenye mada hii kuuliza kama yaliyosemwa na Rais, huko Dakar, Senegal kuhusu vijana kugawiwa hekta 10 za kilimo, kama ni swala linalojulikana kwa vijana wengi.

Kama unaufahamu mpango huo, tafadhali weka taarifa zake hapa nasi tuzijue.
 
SHULE ZILIZOJENGWA NA SERIKALI YA CCM ZIPO KILA KONA KILA KATA, AJIRA KILA SIKU ZINATANGAZWA NA WATU WANAINGIA KAZIN, HOSPITAL KILA KONA , BARABARA HADI CHUMBAN, TASAF KWA WALENGWA WOTE WANAPATA MADARAJA MAKUBWA MAKUBWA ,SGR PAMOJA NA MRADI WA UMEME WA ,
WATU WOTE HUMU NDANI TUSEME KWA PAMOJA DR SAMIA SULUHU HASSAN ANATOSHA
 
Hivi hii ni kweli, au unafanya utani mkuu 'Rashidi Jololo'!

Na wenye pesa yao hakuna walichosema?
Mimi ni mvuvi ndugu yangu, ni muhanga wa huu UTAPELI.

Awamu ya kwanza ya mradi ilipaswa kuwa imekamilika mwanzoni mwa mwaka huu 2023. Sasa wewe mtafute Waziri wa Mifugo & Uvuvi pamoja na Naibu usikie majibu yao, ni blah blah tu
 
SHULE ZILIZOJENGWA NA SERIKALI YA CCM ZIPO KILA KONA KILA KATA, AJIRA KILA SIKU ZINATANGAZWA NA WATU WANAINGIA KAZIN, HOSPITAL KILA KONA , BARABARA HADI CHUMBAN, TASAF KWA WALENGWA WOTE WANAPATA MADARAJA MAKUBWA MAKUBWA ,SGR PAMOJA NA MRADI WA UMEME WA ,
WATU WOTE HUMU NDANI TUSEME KWA PAMOJA DR SAMIA SULUHU HASSAN ANATOSHA
Hoja sio Mheshimiwa Raisi, bali ni katiba mpya itakayo toa mfumo mzuri unao eleweka na kumuelekeza kiongozi yeyote aingiae madarakani muelekeo mmoja wa kufuata mfumo mmoja, na sio kufuata mifumo binafsi tofauti ya yeyote aingiae madarakani kama Miungu watu, hayo yote uliyo yataja hapo juu ni majukumu na wajibu wa serikali kwa wananchi kama mwajiriwa wa wananchi walio ipa kura/iajiri..
 
SHULE ZILIZOJENGWA NA SERIKALI YA CCM ZIPO KILA KONA KILA KATA, AJIRA KILA SIKU ZINATANGAZWA NA WATU WANAINGIA KAZIN, HOSPITAL KILA KONA , BARABARA HADI CHUMBAN, TASAF KWA WALENGWA WOTE WANAPATA MADARAJA MAKUBWA MAKUBWA ,SGR PAMOJA NA MRADI WA UMEME WA ,
WATU WOTE HUMU NDANI TUSEME KWA PAMOJA DR SAMIA SULUHU HASSAN ANATOSHA

Wewe ni huyo aliyening'iniza kichwa nje pale..

Uongozi.jpg
 
Haya, na mimi nitumie nafasi kwenye mada hii kuuliza kama yaliyosemwa na Rais, huko Dakar, Senegal kuhusu vijana kugawiwa hekta 10 za kilimo, kama ni swala linalojulikana kwa vijana wengi.

Kama unaufahamu mpango huo, tafadhali weka taarifa zake hapa nasi tuzijue.

Mambo mazuri huwezi kupatiwa taratibu zake kama wewe sio kijana wa Lumumba au mtoto wa kigogo, mengine yanaanzia kwanza kwenye familia za WAKUBWA
 
Mimi ni mvuvi ndugu yangu, ni muhanga wa huu UTAPELI.

Awamu ya kwanza ya mradi ilipaswa kuwa imekamilika mwanzoni mwa mwaka huu 2023. Sasa wewe mtafute Waziri wa Mifugo & Uvuvi pamoja na Naibu usikie majibu yao, ni blah blah tu
Na watu wenye akili wanayaona na kuyyasikia haya, lakini hakuna kinachowastua. Hii ndiyo kasoro kubwa sana kwa nchi yetu; kiasi kwamba hata hawa wezi siku hizi wanajua kwamba wanaweza kufanya lolote bila ya kuhojiwa na yeyote.

Sasa nchi itapata vipi maendeleo kwa hali ya aina hii!
 
Mambo mazuri huwezi kupatiwa taratibu zake kama wewe sio kijana wa Lumumba au mtoto wa kigogo, mengine yanaanzia kwanza kwenye familia za WAKUBWA
No katika hili naeza kusemea kidogo
Serikali kupitia wizara ya kilimo ilitangaza nafasi za vijana kuomba ili waingie katika program ya Bulding a better tomorrow (BBT) ambayo kijana ukipita ndio sasa unapatiwa hizo heka 10
Bado watu wanaweza kuomba deadline bado
 
Weka link ya tangazo hapa (KAMA KWELI IPO), acha mba mba mba za CCM wewe
 
Na watu wenye akili wanayaona na kuyyasikia haya, lakini hakuna kinachowastua. Hii ndiyo kasoro kubwa sana kwa nchi yetu; kiasi kwamba hata hawa wezi siku hizi wanajua kwamba wanaweza kufanya lolote bila ya kuhojiwa na yeyote.

Sasa nchi itapata vipi maendeleo kwa hali ya aina hii!
Rais dhaifu, mifumo ya nchi dhaifu kwasababu ya KATIBA MBOVU. Kila kiongozi anakula kwa urefu wa kamba yake na HAKUNA CHA KUMFANYA..... Suluhu ni Katiba mpya tu
 
Fursa nyingine hiyo ndugu zanguni, hapa unaweza kuomba muda wowote hata sasa. Muda wa kufanya mradi wako ni WIKI MOJA HADI MIEZI MIWILI kwa bajeti ya Tshs 23,000,000/= ($ 10,000).

Shime vijana wenzangu tuendelee KUPIGA KWENYE MSHONO hadi huyu MKOLONI MWEUSI (CCM) akubali mwenyewe tujipatie KATIBA MPYA, katiba safi ambayo itaenda kuleta uwajibikaji na kushughulikia wabadhilifu wa pesa za umma na wafadhili PAPO HAPO.

Mwisho tuweze kupata uchumi safi, ajira kede kede,mzunguko wa pesa mzuri, maisha bora na nafuu kwa kila mtanzania.

2. MRADI WA PILI; ($ 10,000 kwa muda wa WIKI MOJA, ama hadi MIEZI MIWILI TU)

"The CSO Urgent Action/Windows of Opportunity: The USAID-funded project Data Driven Advocacy (DDA) - Rapid Response Funding focusing on Democracy, Human Rights and Governance (DRG) Strategy"
CSO Urgent Action/Windows of Opportunity:

Types of Grants: Projects to be funded under this APS should have very specific programmatic focus and should be time bound. To dedicate to interventions that respond to an urgent human rights threat or emerging advocacy opportunity that present an opportunity for collaboration, or that seek to pilot an innovative new approach for advocacy or data collection.

Examples of activities under this pool may include; rapid deployment of human rights monitors, combating Trafficking in Persons, initiatives influencing youth friendly legal and regulatory framework, support/broaden the progressive sentiments of President of the URT and President of Zanzibar, short surveys to collect citizen views on a recent event or newly passed law, urgent collective advocacy in response to a government action, rapid analysis of recently introduced or newly passed laws, or customization of new open-source technology for data analysis.

Specific activities may include; advocacy/engagement with government, Human rights violations or compliance monitoring, public outreach campaigns, action-oriented research and data collection or data analysis.

Thematically DDA will support the following; advocacy of fundamental freedoms, land rights, rights of marginalized populations – women, children, youths and people with disability, natural resource governance and gender-based violence.

Funding Limits and duration of the activity:
Subject to the availability of funds, the maximum funding of each activity will be $10,000 (estimated TSH 23,000,000) for CSO Urgent Action with an implementation period from 1 week up to 2 months.

Negotiations will be conducted with successful applicants only.

Eligibility: Applicants must meet the following criteria;

1. Either legally registered as NGO/CSO or company. For the NGO certificate of registration is required, and for Company, certificate of registration, business license and Tax registration are required.

2. Have a Unique Entity Identifier (UEI) number (a twelve-digit identification number required for all procurement-related activities). A UEI number is not required for application, but will be required for receipt of award.

3. No political parties.

4. No individuals.

NOTE: Project preference will be given to;
1. Human rights-focused proposal.
2. Women, Children and PWDs Government engagement on Policy Reforms.
3. Youth rights
4. Law reform activities.
5. Combating Trafficking in Persons
6. Digital Privacy Protection Rights
7. Support/broaden the progressive sentiments of President of the URT and President of
Zanzibar.

Closing date: Rolling applications through July 15, 2023

Please contact ddagrants@pactworld.org for all questions regarding this APS, all questions will be answered as they come. Telephone calls and direct contacting DDA staff is highly discouraged.
 
Attachments

Watetezi wa katiba hii tuliyonayo ya KIPUUZI tuendelee kuwapuuza
 
SHULE ZILIZOJENGWA NA SERIKALI YA CCM ZIPO KILA KONA KILA KATA, AJIRA KILA SIKU ZINATANGAZWA NA WATU WANAINGIA KAZIN, HOSPITAL KILA KONA , BARABARA HADI CHUMBAN, TASAF KWA WALENGWA WOTE WANAPATA MADARAJA MAKUBWA MAKUBWA ,SGR PAMOJA NA MRADI WA UMEME WA ,
WATU WOTE HUMU NDANI TUSEME KWA PAMOJA DR SAMIA SULUHU HASSAN ANATOSHA
Ni mara ngapi CAG anatoa ripoti zinazoonesha UFISADI WA KUTISHA, MADUDU LUKUKI. Hatua gani zimewahi kuchukuliwa dhidi ya huo UHALIFU NA WAHALIFU? Badala yake wahusika wanatutamb ia tu kwamba BADO TUPO NAO SAANA HADI 2030... Dawa ni KATIBA MPYA, hayo mabarabara, mashule n.k hayawezi kutatua hilo
 
No katika hili naeza kusemea kidogo
Serikali kupitia wizara ya kilimo ilitangaza nafasi za vijana kuomba ili waingie katika program ya Bulding a better tomorrow (BBT) ambayo kijana ukipita ndio sasa unapatiwa hizo heka 10
Bado watu wanaweza kuomba deadline bado
Hebu fafanua kidogo mkuu 'khamis930' hili tangazo lilitoka lini/wapi na mwisho wa kupeleka maombi ni lini?

Unasema kupitia "Wizara ya Kilimo"? Waliweka tangazo magazetini au wapi?
Anayeomba anatakiwa awe na sifa zipi?
 
Ingia website ya wizara ya kilimo
Mi naongea tu vitu nilivyoviona, sipo kichama wala itikadi yyt ndugu
Duh!

Samahani, kabla ya kuweka niliyoweka hapo juu nilikuwa sijaiona hii hapa.

Nitangulize shukrani, hata kabla sijafungua hiyo habari uliyoweka sasa hivi.
 
Back
Top Bottom