Rashidi Jololo
JF-Expert Member
- Sep 21, 2022
- 1,704
- 2,858
- Thread starter
- #21
We chawa badala ya kujibu hoja unaleta matusi tena? Unafikiri sisi wengine hatujui kutukana? Tatizo la kuishi kwa buku saba saba limeharibu vijana wengi sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi hii ni kweli, au unafanya utani mkuu 'Rashidi Jololo'!Kuna pesa ya mradi wa IFAD tumepigwa, inasikitisha sana. Chawa wa mama waliyaita "Mabilioni ya Samia"
View attachment 2496679
View attachment 2496680
SHULE ZILIZOJENGWA NA SERIKALI YA CCM ZIPO KILA KONA KILA KATA, AJIRA KILA SIKU ZINATANGAZWA NA WATU WANAINGIA KAZIN, HOSPITAL KILA KONA , BARABARA HADI CHUMBAN, TASAF KWA WALENGWA WOTE WANAPATA MADARAJA MAKUBWA MAKUBWA ,SGR PAMOJA NA MRADI WA UMEME WA ,Aisee
Mimi ni mvuvi ndugu yangu, ni muhanga wa huu UTAPELI.Hivi hii ni kweli, au unafanya utani mkuu 'Rashidi Jololo'!
Na wenye pesa yao hakuna walichosema?
Hoja sio Mheshimiwa Raisi, bali ni katiba mpya itakayo toa mfumo mzuri unao eleweka na kumuelekeza kiongozi yeyote aingiae madarakani muelekeo mmoja wa kufuata mfumo mmoja, na sio kufuata mifumo binafsi tofauti ya yeyote aingiae madarakani kama Miungu watu, hayo yote uliyo yataja hapo juu ni majukumu na wajibu wa serikali kwa wananchi kama mwajiriwa wa wananchi walio ipa kura/iajiri..SHULE ZILIZOJENGWA NA SERIKALI YA CCM ZIPO KILA KONA KILA KATA, AJIRA KILA SIKU ZINATANGAZWA NA WATU WANAINGIA KAZIN, HOSPITAL KILA KONA , BARABARA HADI CHUMBAN, TASAF KWA WALENGWA WOTE WANAPATA MADARAJA MAKUBWA MAKUBWA ,SGR PAMOJA NA MRADI WA UMEME WA ,
WATU WOTE HUMU NDANI TUSEME KWA PAMOJA DR SAMIA SULUHU HASSAN ANATOSHA
SHULE ZILIZOJENGWA NA SERIKALI YA CCM ZIPO KILA KONA KILA KATA, AJIRA KILA SIKU ZINATANGAZWA NA WATU WANAINGIA KAZIN, HOSPITAL KILA KONA , BARABARA HADI CHUMBAN, TASAF KWA WALENGWA WOTE WANAPATA MADARAJA MAKUBWA MAKUBWA ,SGR PAMOJA NA MRADI WA UMEME WA ,
WATU WOTE HUMU NDANI TUSEME KWA PAMOJA DR SAMIA SULUHU HASSAN ANATOSHA
Haya, na mimi nitumie nafasi kwenye mada hii kuuliza kama yaliyosemwa na Rais, huko Dakar, Senegal kuhusu vijana kugawiwa hekta 10 za kilimo, kama ni swala linalojulikana kwa vijana wengi.
Kama unaufahamu mpango huo, tafadhali weka taarifa zake hapa nasi tuzijue.
Na watu wenye akili wanayaona na kuyyasikia haya, lakini hakuna kinachowastua. Hii ndiyo kasoro kubwa sana kwa nchi yetu; kiasi kwamba hata hawa wezi siku hizi wanajua kwamba wanaweza kufanya lolote bila ya kuhojiwa na yeyote.Mimi ni mvuvi ndugu yangu, ni muhanga wa huu UTAPELI.
Awamu ya kwanza ya mradi ilipaswa kuwa imekamilika mwanzoni mwa mwaka huu 2023. Sasa wewe mtafute Waziri wa Mifugo & Uvuvi pamoja na Naibu usikie majibu yao, ni blah blah tu
No katika hili naeza kusemea kidogoMambo mazuri huwezi kupatiwa taratibu zake kama wewe sio kijana wa Lumumba au mtoto wa kigogo, mengine yanaanzia kwanza kwenye familia za WAKUBWA
Weka link ya tangazo hapa (KAMA KWELI IPO), acha mba mba mba za CCM weweNo katika hili naeza kusemea kidogo
Serikali kupitia wizara ya kilimo ilitangaza nafasi za vijana kuomba ili waingie katika program ya Bulding a better tomorrow (BBT) ambayo kijana ukipita ndio sasa unapatiwa hizo heka 10
Bado watu wanaweza kuomba deadline bado
Rais dhaifu, mifumo ya nchi dhaifu kwasababu ya KATIBA MBOVU. Kila kiongozi anakula kwa urefu wa kamba yake na HAKUNA CHA KUMFANYA..... Suluhu ni Katiba mpya tuNa watu wenye akili wanayaona na kuyyasikia haya, lakini hakuna kinachowastua. Hii ndiyo kasoro kubwa sana kwa nchi yetu; kiasi kwamba hata hawa wezi siku hizi wanajua kwamba wanaweza kufanya lolote bila ya kuhojiwa na yeyote.
Sasa nchi itapata vipi maendeleo kwa hali ya aina hii!
Ni mara ngapi CAG anatoa ripoti zinazoonesha UFISADI WA KUTISHA, MADUDU LUKUKI. Hatua gani zimewahi kuchukuliwa dhidi ya huo UHALIFU NA WAHALIFU? Badala yake wahusika wanatutamb ia tu kwamba BADO TUPO NAO SAANA HADI 2030... Dawa ni KATIBA MPYA, hayo mabarabara, mashule n.k hayawezi kutatua hiloSHULE ZILIZOJENGWA NA SERIKALI YA CCM ZIPO KILA KONA KILA KATA, AJIRA KILA SIKU ZINATANGAZWA NA WATU WANAINGIA KAZIN, HOSPITAL KILA KONA , BARABARA HADI CHUMBAN, TASAF KWA WALENGWA WOTE WANAPATA MADARAJA MAKUBWA MAKUBWA ,SGR PAMOJA NA MRADI WA UMEME WA ,
WATU WOTE HUMU NDANI TUSEME KWA PAMOJA DR SAMIA SULUHU HASSAN ANATOSHA
Ingia website ya wizara ya kilimoWeka link ya tangazo hapa (KAMA KWELI IPO), acha mba mba mba za CCM wewe
Hebu fafanua kidogo mkuu 'khamis930' hili tangazo lilitoka lini/wapi na mwisho wa kupeleka maombi ni lini?No katika hili naeza kusemea kidogo
Serikali kupitia wizara ya kilimo ilitangaza nafasi za vijana kuomba ili waingie katika program ya Bulding a better tomorrow (BBT) ambayo kijana ukipita ndio sasa unapatiwa hizo heka 10
Bado watu wanaweza kuomba deadline bado
Duh!Ingia website ya wizara ya kilimo
Mi naongea tu vitu nilivyoviona, sipo kichama wala itikadi yyt ndugu